-
Wanadiplomasia 6 wa Libya akiwemo aliyeteuliwa kuwa balozi CAR wawekwa kizuizini na kutimuliwa nchini humo + SAUTI
Oct 31, 2020 05:08Jamhuri ya Afrika ya Kati yawakamata na kuwaweka kizuizini kisha kuwatimua wanadiplomasia 6 wa Libya, akiwemo aliyeteuliwa kuwa balozi nchini humo
-
Licha ya changamoto za corona kwa maisha ya watu, sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda + SAUTI
Oct 31, 2020 04:58Sekta ya kilimo imekuwa na ustawi nchini Uganda licha ya hali ngumu inayowakabili wananchi kutokana na janga la Covid-19
-
Matukio ya Kiislamu: Waislamu Tanzania waadhimisha Maulidi ya Mtume SAW +SAUTI
Oct 30, 2020 12:31Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amehutubia Baraza la Maulidi na kuwataka Waislamu kudumisha upendo na ushirikiano ili kumuenzi Bwana Mtume SAW.
-
Ripoti ya matukio ya Kiislamu juma hili nchini Tanzania + SAUTI
Oct 16, 2020 12:46Viongozi wa dini Tanzania wakemewa na Baraza la Maulamaa la BAKWATA kwa kujihusisha na kuwapigia kampeni wagombea wa vyama vya siasa katika uchaguzi mkuu
-
Rais Touadéra wa CAR apokea shehena ya silaha nzitonzito za kijeshi kutoka Russia + SAUTI
Oct 16, 2020 12:39Rais Faustin-Archange Touadéra wa Jamhuri ya Afrika ya Kati apokea shehena ya vifaru vya kivita na silaha zingine nzitonzito za kijeshi kutoka Russia licha ya nchi yake kuwekewa vikwazo vya silaha na Umoja wa Mataifa.
-
Rais wa Uganda atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake + SAUTI
Oct 12, 2020 12:25Rais Yoweri Museveni wa Uganda Atetea uamuzi wa serikali yake kusaidia ujenzi wa barabara kubwa ya lami ya kuunganisha nchi hiyo na majirani zake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini, licha ya Uganda yenyewe kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi hivi sasa.
-
Uganda yaadhimisha miaka 58 ya uhuru +SAUTI
Oct 09, 2020 11:18Uganda leo imeadhimisha miaka 58 tangu ilipopata uhuru kutoka kwa mkoloni Muingereza Oktoba 9 mwaka 1962. Uhuru wa Uganda unaadhimishwa huku nchi hiyo ya Afrika Mashariki ikiendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali zikiwemo sera za ukoloni mamboleo.
-
Muuaji wa George Floyd aachiliwa huru nchini Marekani + Video
Oct 08, 2020 03:25Afisa mzungu wa polisi wa Marekani ambaye alimuua kikatili na kinyama Mmarekani mwenye asili ya Afrika, George Floyd na kuzusha maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi wa rangi dunia nzima, ameachiliwa huru kwa dhamana huko Marekani.
-
Jengo la biashara la Michenzani Mall Zanzibar lazinduliwa na Rais Shein +SAUTI
Oct 05, 2020 14:40Rais wa Zanzibar Ali Muhammad Shein amesema kuwa serikali imejenga jengo la biashara la Michenzani Mall ili kuwawezesha wananchi kuingia katika utaratibu wa kuuza biashara kwa njia za kisasa. Kwa maelezo zaidi na tumtegee sikio mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit
-
Malalamiko yaugubika mchakato wa uteuzi wa nafasi mbalimbali katika vyama vya siasa Uganda +SAUTI
Oct 05, 2020 14:39Mustakbali wa vyama vyote vya siasa nchini Uganda kuhusiana na uchaguzi mkuu ujao nchini humo haueleweki kutokana na anga ya kisiasa ya nchi hiyo kugubikwa na malalamiko mengi. Kigozi Ismail na taarifa zaidi akiripoti kutoka Kampala...