-
SAUTI, Viongozi wa upinzani Tanzania waendelea kuishambulia bajeti ya serikali, waitaja kuwa si rafiki wa Watanzania
Jun 28, 2018 11:19Viongozi wa upinzani nchini Tanzania wameendelea kukosoa bajeti ya serikali yam waka wa fedha 2018-2019 wakidai kuwa bajeti hiyo si rafiki wa wananchi.
-
SAUTI, Burundi yakosoa kitendo cha Rwanda cha kuwatimua wakimbizi wa Kirundi bila kuwapa mali zao
Jun 28, 2018 11:14Serikali ya Burundi imekosoa kitendo cha serikali ya nchi jirani ya Rwanda cha kuwafukuza zaidi ya wakimbizi 550 bila sababu.
-
Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko Uganda wajiandaa kurejea nyumbani (RIPOTI)
Jun 26, 2018 12:11Wakimbizi wa Sudan Kusini walioko nchini Uganda wameanza kujitayarisha kurejea nchini kwao, baada ya pande hasimu za kisiasa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusaini makubaliano ya amani mjini Khartoum, Sudan.
-
Homa ya Chikungunya na Dengue zaripotiwa nchini Tanzania (RIPOTI)
Jun 26, 2018 10:30Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto nchini Tanzania imetoa taarifa kwa umma kuhusu kuwepo kwa magonjwa wa homa ya Chikungunya na Dengue nchini humo.
-
IGAD yatangaza kuimarika usalama Pembe ya Afrika + Sauti
Jun 25, 2018 12:24Jumuiya ya IGAD imetangaza kuimarika usalama katika eneo la Pembe ya Afrika na kwa sasa imepitisha sheria ya sera za kibinadamu ambazo zitafanikisha usalama huo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa Kenya.
-
Mnangagwa: Nilikuwa karibu sana na mlipuko; uchaguzi utaendelea kama ilivyopangwa + Video
Jun 24, 2018 08:46Rais wa Zimbabwe amesema kuwa uchaguzi wa rais nchini humo utafanyika tarehe 30 Julai kama ilivyopangwa licha ya kile kinachosemekana ni jaribio la kutaka kumua jana Jumamosi.
-
Rais wa Zimbabwe: Siku yangu ya kufa bado haijafika + Video
Jun 24, 2018 00:15Rais wa Zimbabwe amesema baada ya kunusurika kifo katika mlipuko wa jana kwamba, siku yake ya kufa ilikuwa haijafika.
-
Answarullah wasambaza video nyingine inayoonesha uongo wa Saudia kuhusu vita vya Yemen + Video
Jun 17, 2018 22:03Harakati ya Answarullah ya Yemen kwa mara nyingine tena imesambaza mkanda wa video ili kukanusha madai ya uongo yaliyotangazwa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake kuwa eti wameuteka uwanja wa ndege wa al Hudaydah.
-
Mufti wa Uganda awataka Waislamu wasaidie kupatikana amani duniani + Sauti
Jun 16, 2018 01:54Mufti wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amewasihi Waislamu kote duniani wachangie kupatikana amani, lakini wakianzia kwa jamii zao. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
-
SAUTI, Aliyekuwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini Uganda, Kale Kayihura atiwa mbaroni, kushtakiwa kijeshi
Jun 13, 2018 12:45Jenerali wa zamani wa jeshi la polisi nchini Uganda, Kale Kayihura, ametiwa mbaroni Jumatano hii akihusishwa na tuhuma mbalimbali alizozitenda wakati akitumikia nafasi hiyo.