Mufti wa Uganda awataka Waislamu wasaidie kupatikana amani duniani + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45912-mufti_wa_uganda_awataka_waislamu_wasaidie_kupatikana_amani_duniani_sauti
Mufti wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amewasihi Waislamu kote duniani wachangie kupatikana amani, lakini wakianzia kwa jamii zao. Maelezo zaidi yamo katika ripoti ya mwandishi wetu wa Kampala, Kigozi Ismail.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 16, 2018 01:54 UTC