IGAD yatangaza kuimarika usalama Pembe ya Afrika + Sauti
Jun 25, 2018 12:24 UTC
Jumuiya ya IGAD imetangaza kuimarika usalama katika eneo la Pembe ya Afrika na kwa sasa imepitisha sheria ya sera za kibinadamu ambazo zitafanikisha usalama huo. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi kutoka Mombasa Kenya.
Tags