-
'Udugu' na 'Vita dhidi ya Ufisadi' vyatawala maadhimisho ya Siku ya Madaraka Kenya
Jun 01, 2018 11:19Wakenya wameadhimisha Siku ya Madaraka huku kaulimbiu ya mwaka huu ikiwa mbele pamoja.
-
MINUSCA yatuhumiwa kuua raia 16 Jamhuri ya Afrika ya Kati (RIPOTI)
Jun 01, 2018 11:15Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimelaumiwa na wapiganaji wa Seleka, kwa kuua watu 16 katika mji wa Bambari, ulioko mashariki mwa mji mkuu Bangui, mpakani na Uganda.
-
Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti
May 31, 2018 13:10Wanasiasa nchini Uganda wameonywa kuhusu kutoa matamshi yanayoweza kuzusha hofu na wasiwasi mkubwa nchini Uganda na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
SAUTI, Polisi ya Rwanda yawataka raia kuacha kuingia hifadhi za Tanzania kinyemela ili kuepuka matatizo
May 30, 2018 12:46Katika juhudi za kudumisha ujirani mwema kati ya Rwanda na Tanzania, serikali ya Kigali imewaonya raia wa taifa hilo hususan wale wanaoisho maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo karibu na mpaka wa Tanzania kujiepusha na vitendo vya kuvuka mpaka kuingia nchi hiyo jirani.
-
SAUTI, Bunge lapitisha muswada wa sheria ya kuruhusu kuanza shughuli za Mahakama ya Jinai nchini humo
May 30, 2018 11:34Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kati limepitisha muswada ambao kwa mujibu wake utaruhusu kuanza kufanya kazi kwa mahakama maalumu ya jinai nchini humo.
-
Mufti Mkuu wa Uganda: Waislamu shikamaneni na mdumishe udugu
May 29, 2018 11:37Mufti Mkuu wa Uganda Sheikh Shaaban Ramadhan Mubajje amesisitizia umuhimu wa kudumishwa amani duniani kote.
-
Rwanda kuanza kuzalisha na kuuza silaha (RIPOTI)
May 29, 2018 10:25Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo, bunge la Rwanda limepitisha kwa kauli moja muswada wa sheria inayoruhusu watu kutengeneza, kuuza na kumiliki silaha.
-
Taharuki Cameroon kufuatia mauaji ya makumi ya watu (RIPOTI)
May 28, 2018 12:30Wakazi wa kaskazini magharibi mwa Cameroon wangali wanaishi katika hali ya taharuki, baada ya makumi ya watu kuuawa katika machafuko yaliyotokea siku chache zilizopita.
-
Umoja wa Ulaya: Tutayalinda mapatano ya nyuklia ya Iran licha ya Marekani kujitoa + Video
May 28, 2018 10:58Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa umoja huo umeazimia kikweli kweli kuyalinda mapatano ya nyuklia yaliyofikiwa mwaka 2015 baina ya Iran na kundi la 5+1, licha ya Marekani kujitoa katika mapatano hayo ya kimataifa.
-
'Buibui-mtu' apewa uraia Ufaransa kwa kumwokoa mtoto asianguke ghorofani + Video
May 28, 2018 10:51Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ametoa amri ya kupewa uraia Mamoudou Gassama mhamiaji kutoka Mali ambaye ameonesha ushujaa mkubwa wa kukwea kwa umahiri wa kipekee dari za nyumba za jengo kubwa la ghorofa na kumuokoa mtoto aliyekuwa anakaribia kuanguka.