MINUSCA yatuhumiwa kuua raia 16 Jamhuri ya Afrika ya Kati (RIPOTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45280-minusca_yatuhumiwa_kuua_raia_16_jamhuri_ya_afrika_ya_kati_(ripoti)
Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimelaumiwa na wapiganaji wa Seleka, kwa kuua watu 16 katika mji wa Bambari, ulioko mashariki mwa mji mkuu Bangui, mpakani na Uganda.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jun 01, 2018 11:15 UTC

Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Mataifa huko Jamhuri ya Afrika ya kati MINUSCA kimelaumiwa na wapiganaji wa Seleka, kwa kuua watu 16 katika mji wa Bambari, ulioko mashariki mwa mji mkuu Bangui, mpakani na Uganda.

Hata hivyo kikosi hicho kimekanusha tuhuma hizo dhidi yake na kulielekezea kidole cha lawama genge la waasi la UPC, kama anavyorpoti mwandishi wetu Mossi Mwasi kutoka eneo la Afrika ya Kati.....