Taharuki Cameroon kufuatia mauaji ya makumi ya watu (RIPOTI)
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45098-taharuki_cameroon_kufuatia_mauaji_ya_makumi_ya_watu_(ripoti)
Wakazi wa kaskazini magharibi mwa Cameroon wangali wanaishi katika hali ya taharuki, baada ya makumi ya watu kuuawa katika machafuko yaliyotokea siku chache zilizopita.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
May 28, 2018 12:30 UTC

Wakazi wa kaskazini magharibi mwa Cameroon wangali wanaishi katika hali ya taharuki, baada ya makumi ya watu kuuawa katika machafuko yaliyotokea siku chache zilizopita.

Maeneo hayo ambayo ni ya wakazi wanaozungumza lugha ya Kiingereza na wanaounda asilimia 20 ya wakazi wote wa nchi hiyo, yamekuwa yakishuhudia machafuko kwa muda mrefu sasa.

Mwandishi wetu wa eneo la Afrika ya Kati, Mossi Mwasi ana maelezo zaidi…