-
UN yaunga mkono juhudi za kudumisha utulivu Jamhuri ya Afrika ya Kati + Sauti
Apr 11, 2018 09:15Umoja wa Mataifa umesema kuwa unaunga mkono juhudi za kuleta utulivu na amani huko Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
SAUTI, Makamu wa Rais Zanzibar: Serikati ya Tanzania imepania kuboresha sekta ya usafirishaji wa anga nchini
Apr 09, 2018 13:31Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd amesema kuwa, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea na juhudi zake za kuimarisha zaidi viwanja vyake vya ndege ili kukuza sekta ya usafiri wa nga ndani ya taifa hilo.
-
SAUTI, Burundi yakumbwa na uhaba mkubwa wa mafuta, foleni ndefu zashuhudiwa vituo vya mafuta
Apr 09, 2018 13:31Vituo vya mafuta nchini Burundi vimeendelea kushuhudia foleni ndefu za watu wanaohitajia nishati hiyo huku wananchi wakiililia serikali ili iingilie kati kumaliza uhaba huo wa mafuta.
-
SAUTI, Wanasheria Uganda wafungua upya kesi ya kupinga Rais Museven kugombea tena nafasi hiyo
Apr 09, 2018 13:30Wanasheria na wanasiasa nchini Uganda wamefungua tena kesi ya kupinga maamuzi ya kubatilisha kipengee cha ukomo wa umri kwa mgombea urais nchini humo.
-
SAUTI, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kongo DR atishia kumzuia Moïse Katumbi kugombea urais kwa kumshitaki
Apr 09, 2018 13:24Mwanasheria Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametishia kumfungulia mashitaka ya uhaini, Moïse Katumbi Chapwe mwezi wa Juni mwaka huu.
-
Mradi maalumu wa kuboresha jiji la Dar es Salaam Tanzania + Sauti
Apr 09, 2018 03:20Serikali ya Tanzania imeanzisha mradi maalumu wa kuboresha mji wa Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu hali mbaya ya mji huo. Mwandishi wetu Omar Manji na maelezo yafuatayo...
-
SAUTI, Tanzania yajifunza kwa Uganda namna ya usajili wa ardhi kidijitali, yapania kumaliza matatizo ya ardhi
Apr 07, 2018 12:13Maafisa wa Wizara ya Ardhi nchini Tanzania wanaendelea kujifundisha namna ya usajili wa ardhi kwa njia ya kidijitali (tarakimu) kwa ajili ya kumaliza matatizo ya ardhi nchini kwao.
-
SAUTI, Maalim Seif: Amri ya uhamiaji Tanzania ya kuwapangia Watanzania mahala pa kusafiria kuelekea nje inashangaza
Apr 02, 2018 12:15Katibu Mkuu wa Chama Cha Wanachi (CUF), Maalif Seif Sharif Hamad, ameonyesha kushangazwa na amri ya idara ya uhamiaji Tanzania Bara, kutowaruhusu Watanzania waliochukulia pasipoti upande huo (bara) kusafiria kutokea Zanzibar kuelekea nchi nyingine.
-
SAUTI, Wafuasi wa dini ya Binti Zebiya na raia wa Burundi, warejeshwa makwao kutoka Rwanda, wakiwa na lawama
Apr 02, 2018 10:43Raia wa Burundi zaidi ya 1600 waliokuwa wakiishi kwa muda nchini Rwanda wamerejea nchini Burundi huku wakiwa na malalamiko mbalimbali dhidi ya maafisa usalama wa Rwanda.
-
Wadau kufanya utafiti kuhusu matumizi ya Kiswahili Afrika Mashariki + Sauti
Mar 31, 2018 23:46Hayo yamebainika katika Kongamano la Kiswahili mjini Arusha, Tanzania