Mradi maalumu wa kuboresha jiji la Dar es Salaam Tanzania + Sauti
Apr 09, 2018 03:20 UTC
Serikali ya Tanzania imeanzisha mradi maalumu wa kuboresha mji wa Dar es Salaam kufuatia malalamiko ya wananchi kuhusu hali mbaya ya mji huo. Mwandishi wetu Omar Manji na maelezo yafuatayo...
Tags