Wadau kufanya utafiti kuhusu matumizi ya Kiswahili Afrika Mashariki + Sauti
Mar 31, 2018 23:46 UTC
Hayo yamebainika katika Kongamano la Kiswahili mjini Arusha, Tanzania
Kamisheni ya Kiswahili katika jumuiya ya Afrika Mashariki imetangaza rasmi mkakati mpana wa kuanza kufanya utafiti kuhusu matumizi ya Kiswahili kwenye nchi zinazounda jumuiya ya Afrika. Wadau katika utafiti huo wanasema utasaidia kuweka mwongozo wa pamoja wa kutumia Kiswahili kama lugha ya wana-jumuiya ya Afrika Mashariki.
Kutoka Arusha, Sylvanus Karemera anaripoti zaidi.