-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Mar 31, 2018 01:31Hii hapa ni ripoti ya mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya Kiislamu yaliyojiri katika kipindi cha juma moja iliyotayarishwa na mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.
-
Rais Yoweri Museveni alalamikia itikadi mbovu za kikabila barani Afrika + Sauti
Mar 28, 2018 13:57Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa matatizo mengi yanayoliathiri bara la Afrika yanasababishwa na itikadi mbovu kama ubaguzi wa kikabila. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia taarifa ifuatayo.
-
Watanzania waitaka serikali kuondoa hofu ya kuwepo hoja ya uchochezi + Sauti
Mar 26, 2018 05:16Watanzania wameitaka serikali ya nchi yao kuendelea na mikakati ya kuboresha zaidi uhuru wa kujielewa wananchi wake na kuweka mazingira ya kukosolewa na kupongezwa katika masuala muhimu kwa mustakbali wa taifa na kusonga mbele zaidi kimaendeleo.
-
Uganda, Rwanda zaitaka UN kutatua migogoro ya DRC na S/Kusini + Sauti
Mar 26, 2018 05:07Marais wa Rwanda na Uganda wameuhimiza Umoja wa Mataifa kuchukua hatu za kukomesha migogoro ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Sudan Kusini. Mwandishi wetu wa Kampala ametuandalia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Mwito wa Unicef kwa Wizara ya Afya ya Ugada + Sauti
Mar 20, 2018 03:03Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF limeitaka Wizara ya Afya ya Uganda kuishinikiza Hazina ya Taifa ya nchi hiyo ii itoea fedha kunusuru akina mama nchini humo. Mwandishi wa Radio Tehran, Kigozi Ismail ametuandalia ripoti maalumu kuhusu mwito huo...
-
ACT Wazalendo: Maeneo ya vijijini nchini Tanzania yametelekezwa na serikali
Mar 18, 2018 13:21Aidha chama hicho kimeitaka serikali kuruhusu wananchi wafanye maandamano ya amani
-
Watu saba wapoteza maisha kwa kuporomoka mlima Burundi + Sauti
Mar 17, 2018 03:21Watu saba wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia kuporomoka mlima kando na mto Gasenyi, karibu na kunakojengwa Ikulu ya Rais.
-
Bunge Uganda laakhirisha vikao, kisa... + Sauti
Mar 17, 2018 03:15Nauibu Spika wa Bunge la Uganda, Jacob Bolanya ameakhirisha vikao vya bunge hilo baada ya wizara ya afya kushindwa kutoa maelezo ya kukinaisha kuhusu ugonjwa hatari uliolikumba eneo la kaskazini nchi hiyo. Kigozi Ismail na ripoti kamili...
-
Matukio ya Kiislamu Afrika Mashariki na Harith Subeit + Sauti
Mar 17, 2018 02:57Kama ilivyo ada, matukio ya Kiislamu ukanda wa Afrika Mashariki wiki hii pia ni mengi. Mwandishi wetu wa Zanzibar Harith Subeit amekusanya baadhi yake na kuandalia ripoti maalumu ...
-
SAUTI, Mamlaka ya kusimamia madawa Uganda yaendelea kunasa madawa bandia katika hospitali na maduka ya madawa
Mar 15, 2018 13:13Taasisi ya kudhibiti madawa nchini Uganda imeendelea kukamata madawa ambayo yamekuwa yakiuzwa katika vituo mbalimbali vya afya nchini humo.