Watanzania waitaka serikali kuondoa hofu ya kuwepo hoja ya uchochezi + Sauti
Mar 26, 2018 05:16 UTC
Watanzania wameitaka serikali ya nchi yao kuendelea na mikakati ya kuboresha zaidi uhuru wa kujielewa wananchi wake na kuweka mazingira ya kukosolewa na kupongezwa katika masuala muhimu kwa mustakbali wa taifa na kusonga mbele zaidi kimaendeleo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamesema kuwa, wanaipongeza serikali kwa kuruhusu uhuru wa Watanzania kutoa mawazo yao, lakini wanaitaka itatue changamozo mbalimbali zilizopo ikiwemo hofu ya kuwepo hoja ya uchochezi. Maelezo zaidi yamo katika ripoti hii ya mwandishi wetu wa Dar es Salaam, Omar Manji.
Tags