Watu saba wapoteza maisha kwa kuporomoka mlima Burundi + Sauti
Mar 17, 2018 03:21 UTC
Watu saba wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia kuporomoka mlima kando na mto Gasenyi, karibu na kunakojengwa Ikulu ya Rais.
Waziri wa Ujenzi wa Burundi amesema kuwa shirika linaloendesha ujenzi wa kuta kando kando ya mto huo litazilipa fidia familia za wahanga wa tukio hilo. Mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu tukio hilo...
Tags