Rais Yoweri Museveni alalamikia itikadi mbovu za kikabila barani Afrika + Sauti
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i42328-rais_yoweri_museveni_alalamikia_itikadi_mbovu_za_kikabila_barani_afrika_sauti
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kuwa matatizo mengi yanayoliathiri bara la Afrika yanasababishwa na itikadi mbovu kama ubaguzi wa kikabila. Mwandishi wetu wa Kampala Kigozi Ismail ametuandalia taarifa ifuatayo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 28, 2018 13:57 UTC