-
SAUTI: Polisi ya Kongo DR yavamia Chuo Kikuu Kinshasa ili kuwakamata wanafunzi wanaodaiwa kutorosha wafungwa
Jul 22, 2017 12:30Polisi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamevamia Chuo Kikuu cha Kinshasa kwa lengo la kuwatia mbaroni wanafunzi wa chuo hicho mbao wanatajwa kuwa wahusika wa vurugu jijini hapo.
-
SAUTI, Waangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya (EAC) wamewasili Rwanda huku wakionyesha kufurahishwa na maandalizi
Jul 20, 2017 12:51Wangalizi wa uchaguzi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, wamewasili nchini Rwanda huku kampeni za uchaguzi wa rais zikiendelea kila kona nchini humo.
-
Wapinzani walivyosusia uchaguzi Congo Brazzaville
Jul 17, 2017 02:36Wananchi wengi wame wa Congo Brazzaville wamesusia uchaguzi wa bunge na udiwani na kufanya fujo ikiwa ni pamoja na kuchoma moto vituo vya kupigia kura. Mwito wa kususia uchaguzi huo ulitolewa mapema na vayma vya upinzani. Mwandishi wa Radio Tehran na maelezo zaidi kutoka Brazzaville
-
SAUTI, Kampeni za uchaguzi nchini Rwanda zaanza rasmi, Rais Kagame asema hana wasi wasi na ushindi
Jul 14, 2017 12:34Nchini Rwanda zimeanza kampeini za uchaguzi wa rais ambapo Rais Paul Kagame wa nchi hiyo ameonyesha kutokuwa na wasi wasi wowote na upinzani wake.
-
SAUTI, Polisi ya Rwanda: Ole wao waandishi wa habari au watu watakaotoa taarifa potofu kwenye kampeni
Jul 13, 2017 09:38Police nchini Rwanda imewaonya wapiga kura na waandishi wa habari kuhusu suala lolote linaloweza kupelekea wao kujikuta kwenye chini ya mkono wa sheria.
-
SAUTI, Tume ya Kitaifa ya Haki za Binaadamu Burundi yasema, hali ya kibinaadamu nchini imeboreka sana
Jul 08, 2017 06:02Tume ya kitaifa haki za binaadamu nchini Burundi imesema kuwa, hali ya haki za binaadam imezidi kuboreka siku hadi siku nchini.
-
SAUTI, Elimu ya vyuo vikuu vya Afrika iko chini sana ikilinganishwa na ya vyuo vikuu vya mabara mengine
Jul 08, 2017 05:16Watalaam wa elimu barani Afrika wamekiri kwamba ukosefu wa kiwango cha ubora wa elimu barani humo kimesababisha kudorora kwa raslimali yenye uwezo wa kuinua maendeleo kwa kasi inayotakiwa.
-
SAUTI: Kundi jipya la waasi Kongo DR lavamia kambi ya jeshi Kivu Kusini na kuua, kupora silaha na kuichoma moto
Jul 02, 2017 08:08Waasi wapya wa kundi la Muungano wa Taifa kwa ajili ya Kujitegemea (CNPC), nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wameshambulia kambi ya jeshi ya mkoa wa Kivu Kusini na kuua askari 12, kupora silaha na kuichoma moto kambi hiyo.
-
SAUTI, Michel Kafando: Nimefurahishwa na hatua ya Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi kunikubali kuwa msuluhishi
Jun 29, 2017 12:48Michel Kafando, Mjumbe mpya wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, amefanya ziara mjini Bujumbura kwa ajili ya kukutana kwa mara ya kwanza na viongozi wa nchi hiyo.
-
Video ya kwanza kabisa ya msikiti wa al Nuri wa Iraq baada ya kufurushwa magaidi wa Daesh
Jun 29, 2017 12:42Televisheni ya al Sumaria ya Iraq imerusha hewani ripoti ya mwandishi wake aliyekuwa amefuatana na vikosi vya ulinzi vya Iraq katika ukombozi wa ngome ya mwisho ya magaidi wa Daesh (ISIS) mjini Mosul, Iraq.