-
SAUTI: Waislamu Kenya walaani kitendo cha kukamatwa na polisi mke wa Sheikh Aboud Rogo
Sep 16, 2016 23:29Radiamali ya Waislamu nchini Kenya imeendelea kutolewa kutokana na kamatakamata ya polisi ya nchi hiyo katika kuwasaka wanachama wa genge jipya la wanawake wanaoaminika kuwa wafuasi wa kundi la kigaidi la ash-Shabab.
-
Tetemeko la ardhi lakumba maeneo ya Tanzania, Uganda na Burundi; 10 wafariki dunia + SAUTI
Sep 10, 2016 11:14Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.7 kwa kipimo cha rishta limeikumba mikoa ya kanda ya ziwa nchini Tanzania na kusini mashariki mwa Uganda na baadhi ya maeneo ya Burundi kusababisha maafa ya vifo na majeruhi na hasara ya mali.
-
SAUTI: Makaburi ya Umati yazidi kushuhudiwa Burundi
Sep 08, 2016 14:02Miili ya watu wengi imegunduliwa katika mkoa wa Muramvya katikati mwa Burundi.
-
Video: Duma wa Iran akiwa mawindoni
Sep 07, 2016 23:04Miongoni mwa wanyama walio katika hatari ya kutoweka, ni duma wa Iran ambao hivi sasa wamebakia wachache sana.
-
Video: Hasara waliyopata wanajeshi wa Saudia nchini Yemen ndani ya ardhi ya Saudia (2)
Sep 03, 2016 12:45Wakati Saudi Arabia na kundi lake wanaendelea kushambulia maeneo ya raia na kuharibu miundombinu nchini Yemen, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi wanaendelea kupata ushindi katika medani za mapigano katika eneo la Najran, ndani ya ardhi ya Saudi Arabia. Video hii inaonesha sehemu ndogo ya uhakika huo. Hii ni sehemu ya pili.
-
Video: Vita si lele mama, mashambulizi makali dhidi ya ngome ya Saudia Yemen (1)
Sep 03, 2016 12:41Wakati Saudi Arabia na kundi lake wanaendelea kushambulia maeneo ya raia na kuharibu miundombinu nchini Yemen, jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na vikosi vya wananchi wanaendelea kupata ushindi katika medani za mapigano. Video hii inaonesha sehemu ndogo ya uhakika huo.
-
Duma wa Iran
Sep 01, 2016 13:38Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha sehemu ya chui aina ya duma wa nchini Iran
-
Aokoka chupuchupu kusagwa na treni
Aug 30, 2016 04:08Mtu hafi ila kwa ahadi yake kufika hata wakikusanyika viumbe wa mbinguni na ardhi kutaka kukumalizia maisha hawawezi kama siku yako haijafika. Video hii inathibitisha namna mtu alivyookolewa sekunde ya mwisho kabla ya kusagwasagwa na treni.
-
Usidhani ni mwadanamu tu ndiye awezaye kuendesha baskeli
Aug 30, 2016 03:53Kinachompambanua mwanadamu na mnyama ni akili na maarifa yanayomfanya awe mbunifu, si utendaji wa matendo, kwani kuna matendo mengi tu yafanywayo na binadamu huweza kufanywa pia na wanyama kama kinavyoonesha kipande hiki cha video.
-
Ndege anayezungumza na watu kwa vitendo
Aug 30, 2016 03:48Ndege anayesikiliza analoambiwa na kuonesha kuwa ameelewa alichoambiwa kupitia vitendo.