-
Kunguru mzungumzaji
Aug 30, 2016 03:39Kila kitu dunia hii kimekuwa ni maslahi. Kunguru ameamua kuzungumza ili maslahi yake ya kupewa chakula yatimie
-
Video: Mwanamke wa kwanza Muislamu kuvaa sare katika jeshi la polisi la Marekani azungumza
Aug 27, 2016 07:52Afisa wa kwanza wa kike wa polisi wa Marekani, ameanza kazi katika jeshi hilo kwa kuvaa sare ya Hijabu katika mji wa Dearborn kwenye jimbo la Michigan.
-
SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania
Aug 23, 2016 02:37Hatua ya kuzidi kufichuliwa wafanyakazi hewa katika taasisi mbalimbali za serikali nchini Tanzania, kumewafanya wananchi wa nchi hiyo waibebeshe mzigo wa lawama serikali ya ilyopita ya Jakaya Mrisho Kikwete na kulalamika kuwa fedha nyingi za umma zilipotea kutokana na udhaifu wa serikali hiyo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam.
-
Mashambulizi makali ya jeshi la Syria wakati mwandishi akiwa LIVE hewani
Aug 14, 2016 05:11Ni mara chache kuona matukiio kama haya ya mashambulizi ya moja kwa moja katika medani za vita. Habari nyingi zinazoripotiwa na vyombo vya habari ni za picha na video zilizorekodiwa kabla ya kuhaririwa na kurushwa hewani, lakini kipande hiki cha video kinaonesha mashambulizi yakitokea wakati kamera ya mwandishi ikiwa moja kwa moja hewani...
-
Maisha yaendelea kama kawaida Halab Syria, utadhani hakuna vita
Aug 10, 2016 05:42Makundi ya kigaidi na nchi zinazoyaunga mkono zimekuwa zikifanya propaganda kubwa za kudai kuwa hali ya kimaisha katika mji wa Halab Syria ni mbaya mno kiasi kwamba watu hawatoki nje, hakuna huduma hata za dharura n.k. Hata hivyo kamera ya televisheni ya al Alam iliyotembelea mji huo inaakisi kinyume kabisa na madai hayo ya uongo ya maadui wa taifa la Syria
-
Video: Vita kaskazini mwa Syria
Aug 10, 2016 05:35Jeshi la Syria na waitifaki wake linaendelea kupambana vikali na magenge ya kigaidi yanayopata uungaji mkono wa madola ya kigeni ikiwemo Marekani, Israel baadhi ya nchi za Ulaya na baadhi ya nchi za Kiarabu na nyingine zinazopakana na Syria. Kipande hiki cha video kinaonesha sehemu ndogo ya vita hivyo vinavyoendelea Halab, kaskazini mwa Syria.
-
Video: Mapigano makali mjini Halab Syria
Aug 06, 2016 23:35Jana Jumamosi, makundi ya kigaidi yaliyounganisha nguvu zao zote kujaribu kujitoa katika mzingiro huko Halab, Syria yalieneza propaganda kubwa kudai kuwa yamefanikiwa kujitoa kwenye mzingiro huo. Kipande hiki cha video sambamba na kukanusha madai hayo, kinaonesha sehemu ndogo ya mapigano makali yaliyotokea jana katika pembe zote za kusini magharibi mwa mji wa Halab.
-
Video: George Bush na Tony Blair wapatikana na hatia ya kutenda jinai Iraq
Aug 03, 2016 02:35Mahakama moja nchini Malaysia imewapata na hatia Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair ya kutenda jinai za kivitia katika uvamizi wao wa nchini Iraq mwaka 2003. Maelezo zaidi yamo kwenye video hii hapa...
-
Video: Mtangazaji wa IRIB alipoanguka ghalfa na kuzimia akiwa LIVE hewani
Aug 03, 2016 02:24Mtaalamu wa hali ya hewa wa Shirika la Sauti na Televisheni la Iran IRIB aliangua ghafla na kuzimia akiwa katika matangazo ya moja kwa moja hewani, kwenye taarifa ya habari ya matangazo ya asubuhi. Alhadulillah, hali yake ni nzuri na alirejea hewani kwenye matangazo ya mchana. Sababu ya kuanguka kwake ghafla ni kushuka "presha"
-
Video: Ansarullah wa Yemen wakishambulia kwa makombora eneo la Jizan la Saudia
Jul 24, 2016 04:41Mapigano yanaendelea nchini Yemen, na licha ya harakati ya wananchi ya Answarullah na jeshi Yemen kufungiwa njia zote, lakini wanaendelea kupambana kiume kukabiliana na wavamizi wa nchi yao...