Mashambulizi makali ya jeshi la Syria wakati mwandishi akiwa LIVE hewani
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i12994-mashambulizi_makali_ya_jeshi_la_syria_wakati_mwandishi_akiwa_live_hewani
Ni mara chache kuona matukiio kama haya ya mashambulizi ya moja kwa moja katika medani za vita. Habari nyingi zinazoripotiwa na vyombo vya habari ni za picha na video zilizorekodiwa kabla ya kuhaririwa na kurushwa hewani, lakini kipande hiki cha video kinaonesha mashambulizi yakitokea wakati kamera ya mwandishi ikiwa moja kwa moja hewani...
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Aug 14, 2016 05:11 UTC