-
Video: Ndege ya Russia ikishambulia ngome za ISIS nchini Syria
Jul 24, 2016 04:36Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha namna ndege ya Russia ilipokuwa inashambulia ngome za magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria na kurudi kambini salama.
-
Mateso ya Waislamu wa Kashmiri ya upande wa India
Jul 22, 2016 05:57Waislamu wa eneo la Kashmiri lililoko chini ya India wamefanya maandamano makubwa ya kulaani serikali ya India baada ya jeshi la nchi hiyo kuwaua baadhi ya wanaharakati wanaopigania uhuru wa eneo hilo.
-
Goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa katika historia ya kandanda
Jul 22, 2016 05:52Mchezo wa mpira wa miguu siku zote huwa na maanajabu. Hili hapa goli la haraka zaidi kuwahi kufungwa katika hitoria ya soka. Hilo limetokea nchini Mexico.
-
Video: Ukatili wa magaidi wa Syria hata kwa watoto wa Kipalestina
Jul 21, 2016 03:35Magaidi wa Syria wa kundi la Nuruddin al Zanki wanaoungwa mkono na madola ya kieneo na ya Magharibi hasa Marekani, yamezidi kudhihirisha ukatili wao kwa kumchinja kama kuku mtoto mdogo wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 12.
-
Askari mwerevu wa barabarani
Jul 21, 2016 02:10Asakari mwerevu wa barabarani nchini China, alichukua hatua ya haraka na inayofaa na kufanikiwa kuokoa roho na makumi ya magari kama inavyoonesha video hii...
-
Ajali haina kinga
Jul 19, 2016 03:59Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Kipande hiki kifupi cha video kinathibitisha hilo
-
Uvurundo wa karne katika soka
Jul 12, 2016 03:38Hata makosa nayo yanazidiana. Kuna baadhi ya makosa ni "blanda" na uvurundo ambao hufanyika kiutaalamu kiasi kwamba hata aliyefanya uvurundo huo akiambiwa aurudie hawezi kama vinavyoonesha baadhi ya vipande hivi vya sekundi za hatari katika soka...
-
Mtu hafi ila kwa siku yake kufika
Jul 12, 2016 03:35Kuna matukio mbalimbali hutokezea katika maisha ya wanadamu na kuthibitisha kuwa mtu hufa kwa ahadi yake kufika. Moja ya matukio hayo ni la dereva huyu aliyenusurika kifo kwa sekunde chache tu.
-
Viogozi wa Waislamu Kenya walalamikia safari ya Netanyahu
Jul 10, 2016 02:17Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali uhusiano wa nchi yao na utawala wa Kizayuni wa Israel pamoja na ziara ya hivi karibuni ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala huo dhalimu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika
Jul 05, 2016 02:48Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….