Maisha yaendelea kama kawaida Halab Syria, utadhani hakuna vita
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i12988-maisha_yaendelea_kama_kawaida_halab_syria_utadhani_hakuna_vita
Makundi ya kigaidi na nchi zinazoyaunga mkono zimekuwa zikifanya propaganda kubwa za kudai kuwa hali ya kimaisha katika mji wa Halab Syria ni mbaya mno kiasi kwamba watu hawatoki nje, hakuna huduma hata za dharura n.k. Hata hivyo kamera ya televisheni ya al Alam iliyotembelea mji huo inaakisi kinyume kabisa na madai hayo ya uongo ya maadui wa taifa la Syria
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Aug 10, 2016 05:42 UTC