Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

َArubaini ya Imam Hussein

  • Kiongozi Muadhamu: Harakati ya kueleza haki inazima hujuma na propaganda za adui

    Kiongozi Muadhamu: Harakati ya kueleza haki inazima hujuma na propaganda za adui

    Sep 27, 2021 12:19

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amezungumzia hujuma za kipropaganda zinazofanywa na maadui dhidi ya taifa la Iran kwa ajili ya kushawishi fikra za watu kwa kutumia mbinu na nyenzo mbalimbali na kusema harakati za kutoa ufafanuzi na kueleza haki zinazima hujuma hizo za kipropaganda.

  • Msafara wa

    Msafara wa "Ujumbe wa Arubaini" wafika Italia

    Oct 09, 2020 07:48

    Msafara kwa jina la Ujumbe wa Arubaini umewasili katika mji wa Milan nchini Italia ukiwa katika safari yake barani Ulaya.

  • Kwa nini wanaiogopa Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS?

    Kwa nini wanaiogopa Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS?

    Oct 08, 2020 11:53

    Siku kama ya leo miaka 1381 iliyopita kwa mujibu wa kalenda ya Kiislamu, ilifanyika majlisi ya kwanza ya siku ya Arubaini tangu kuuawa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad SAW Imam Hussein bin Ali AS na watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume ambao waliuawa shahidi tarehe 10 Muharram mwaka 61 Hijria.

  • Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani

    Milioni ya Wairaq wafanya ziara ya Arubaini kuwawakisha Waislamu wenzao duniani

    Oct 08, 2020 07:32

    Milioni ya Wairaq wamewasili katika Haram ya Imam Husain AS huko Karbala kuwawakilisha mamilioni ya wapenzi wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW ambao mwaka huu wameshindwa kwenda Iraq kushiriki kumbukumbu hizo kutokana na corona.

  • Leo ni siku ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS

    Leo ni siku ya kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Husain AS

    Oct 08, 2020 02:38

    Leo Alkhamisi inasadifiana na mwezi 20 Mfunguo Tano Safar 1442 Hijria, siku ya kumbukumbu ya 40 ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Imam Husain AS ambaye pia ni Imam wa Tatu wa Waislamu wa Kishia. Imam Husain AS na wafuasi wake 72 waliuliwa kidhulma na kikatili katika jangwa la Karbala la Iraq ya leo kwenye mwaka wa 61 Hijria.

  • Zaidi ya wafanyaziara milioni 17 wameshiriki katika Arubaini ya Imam Hussein (as) ya mwaka huu

    Zaidi ya wafanyaziara milioni 17 wameshiriki katika Arubaini ya Imam Hussein (as) ya mwaka huu

    Oct 21, 2019 02:39

    Gavana wa mkoa wa Karbala nchini Iraq ametangaza kuwa, idadi ya mazuwari walioshiriki kwenye maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (as) mwaka huu imepindukia milioni 17.

  • Waziri Mkuu wa Iraq: Ziara ya Arubaini, imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi

    Waziri Mkuu wa Iraq: Ziara ya Arubaini, imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi

    Oct 20, 2019 02:35

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwamba, mapinduzi ya Imam Hussein (as) ni mapinduzi dhidi ya kukengeuka na kufanya dhulma na kwamba ziara ya Arubaini ya mjukuu huyo wa Matume (saw) imebeba ujumbe wa kupinga uharibifu na ufisadi.

  • Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia

    Kiongozi Muadhamu: Kusimama kidete katika njia iliyonyooka, ni kwa maslahi ya taifa na dunia

    Oct 19, 2019 13:23

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kusimama kidete katika njia iliyonyooka na ya haki, ni kwa maslahi ya taifa la Iran na dunia yote kwa ujumla.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini

    Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini

    Oct 19, 2019 13:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein (as).

  • Polisi Nigeria yatumia risasi na mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS

    Polisi Nigeria yatumia risasi na mabomu kuvunja Arubaini ya Imam Hussein AS

    Oct 19, 2019 13:20

    Polisi nchini Nigeria imetumia risasi hai na mabomu ya gesi ya kutoa machozi kuvunja matembezi ya amani ya waumini wa Kiislamu waliokuwa wakishiriki maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mkuu Abuja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS