-
Uchaguzi wa Rais nchini Niger waingia duru ya pili
Feb 28, 2016 04:08Uchaguzi wa Rais nchini Niger uliofanyika Jumapili iliyopita na kuwapambanisha wagombea 15 umeingia duru ya pili baada ya kukosekana mshindi katika duru ya kwanza.
-
Kujitokeza Wairani katika uchaguzi ni ishara ya ufahamu
Feb 26, 2016 12:45Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran amesema kujitokeza kwa wingi Wairani katika chaguzi mbili za leo ni ishara ya kuwa hai na kuwa na ufahamu na uelewa taifa la Iran.
-
Chaguzi za Bunge na Baraza la Wataalamu kufanyika leo Iran
Feb 25, 2016 22:19Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa maandalizi na taratibu zote za uchaguzi wa kumi wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na wa tano Baraza la Wataalamu zimekamilika.
-
Shamkhani: Uchaguzi wa Iran, nembo ya kuthibiti utawala wa kidini unaotokana na wananchi
Feb 25, 2016 11:59Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni nembo ya kuthibiti utawala wa kidini unaotokana na ridhaa ya wananchi.
-
Radiamali ya wananchi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati baada ya uchaguzi
Feb 24, 2016 07:18Uchaguzi katika nchi iliyokumbwa na machafuko ya Jamhuri ya Afrika ya Kati umemalizika huku kukiwa na hisia tofauti kuhusu uchaguzi huo.
-
Wanasheria wazungumzia kurudiwa uchaguzi Zanzibar
Feb 24, 2016 07:15Wanasheria mbalimbali visiwani Zanzibar wamepinga matamshi ya hivi karibuni ya Jecha Salim Jecha, Mkuu wa Tume ya Uchaguzi visiwani humo ZEC
-
Wapinzani Niger wakataa matokeo ya awali ya uchaguzi
Feb 24, 2016 04:43Vyama vya upinzani Niger vimepinga matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais ambayo yalionyesha rais wa sasa Mahammadou Issofou akiongoza.
-
Iran: Hatutaki ushauri wa kigeni juu ya uchaguzi wetu
Feb 23, 2016 04:20Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ni nchi huru isiyohitaji ushauri wa nchi za kigeni juu ya uchaguzi wa Bunge na Baraza la Wataalamu uliopangwa kufanyika siku ya Ijumaa.
-
Rais Assad: Uchaguzi wa bunge Syria kufanyika Aprili
Feb 23, 2016 04:17Rais Bashar al-Assad wa Syria ametangaza tarehe 13 Aprili mwaka huu 2016 kuwa siku ya uchaguzi wa bunge nchini humo.
-
Wananchi Niger walalamikia uendeshaji mbovu wa uchaguzi
Feb 22, 2016 04:21Wananchi wa Niger wameilalamikia vikali serikali ya nchi hiyo kwa kuendesha vibaya uchaguzi.