-
Museveni; mshindi wa uchaguzi wa Rais wa Uganda
Feb 22, 2016 03:40Tume ya Uchaguzi ya Uganda juzi alasiri ilitangaza kuwa Yoweri Museveni ni Rais Mpya wa nchi hiyo baada ya kushinda zaidi ya asilimia 60 ya kura na hivyo kumshinda mpinzani wake mkuu Dakta Kiiza Besigye.
-
Wananchi wa Niger washiriki uchaguzi wa rais
Feb 21, 2016 12:32Wananchi wa Niger waliotimiza masharti ya kupiga kura, leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kumchagua rais atakayeiongoza nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika, ambayo kwa muda sasa imekuwa ikikabiliwa na shambulio moja baada ya jingine kutoka kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Touadera apata ushindi wa mapema katika uchaguzi wa rais CAR
Feb 19, 2016 23:37Faustin Archange Touadera, Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Afrika ya Kati amepata ushindi wa mapema katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais uliofanyika Jumapili iliyopita ya Februari 14.
-
Polisi Uganda: Besigye ataachiwa huru baada ya kutangazwa matokeo
Feb 19, 2016 11:35Polisi nchini Uganda imesema itaendelea kumzuilia mgombea wa urais kwa tiketi ya chama cha FDC, Dakta Kizza Besigye na kwamba huenda akaachiwa huru hapo kesho baada ya matokeo rasmi ya uchaguzi wa rais na bunge kutangazwa.
-
Mbabazi: Nitaheshimu matokeo kama yatakuwa ya haki
Feb 19, 2016 04:24Waziri Mkuu wa zamani wa Uganda, Amama Mbabazi amesema atakubali matokeo ya uchaguzi endapo kutakuweko uwazi katika mchakato mzima wa kuhesabu kura.
-
Museveni aongoza katika matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais Uganda
Feb 19, 2016 00:08Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Bunge nchini Uganda yanaonyesha kuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama tawala cha NRM, Yoweri Kaguta Museveni anaongoza kwa kupata kura nyingi zaidi zilizohesabiwa.
-
Kura zaanza kuhesabiwa Uganda, mitandao ya kijamii yafungwa
Feb 18, 2016 13:12Uchaguzi wa rais na bunge nchini Uganda ambao ulianza saa moja asubuhi leo kwa saa za nchi hiyo katika vituo vingi vya kupiga kura umemalizika saa moja jioni bila kuripotiwa visa vikubwa vya uhalifu na uchakachuaji.
-
Jamii ya kimataifa yatoa wito wa kufanyika mazungumzo kuhusu uchaguzi wa Kongo DR
Feb 18, 2016 08:40Umoja wa Mataifa, Umoja wa Afrika, Umoja wa Ulaya na Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Lugha ya Kifaransa (Francophone) jana zilitoa taarifa ya pamoja na kuwataka wanaharakati wa kisiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuanza mazungumzo mapana ya kisiasa haraka iwezekakanavyo kuhusu suala la kufanyika uchaguzi nchini humo.
-
EC yaonya wenye nia ya kuvuruga uchaguzi Uganda
Feb 17, 2016 22:42Tume ya uchaguzi nchini Uganda imewaonya vikali wenye nia ya kuvuruga zoezi la upigaji kura linalofanyika leo (Alkhamisi) na kusisitiza kuwa, watu wa aina hiyo watachukuliwa hatua kali za kisheria. Tume hiyo pia imesisitiza kuwa uchaguzi wa leo nchini Uganda utakuwa huru na wa haki.
-
Uchaguzi wa Somalia kufanyika mwezi Julai mwaka huu
Feb 17, 2016 22:41Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Somalia amesema, viongozi wa baadhi ya majimbo nchini humo wamekubaliana na pendekezo la serikali kuu la kufanyika uchaguzi mwezi Julai mwaka huu.