-
Nouri al-Maliki: Saudia inapanga njama ya kuharibu uchaguzi ujao nchini Iraq
Apr 26, 2018 03:40Makamu wa Rais wa Iraq Nouri al-Maliki amesema Saudi Arabia inafanya kila iwezalo kupitia fedha na propaganda za vyombo vya habari kuharibu matokeo ya uchaguzi ujao nchini humo.
-
Nusu ya Makamishna wa Tume ya uchaguzi Kenya wajiuzulu
Apr 16, 2018 08:04Mgogoro ndani ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya IEBC unaendelea kutokota huku nusu ya makamishna wa tume hiyo wakitangaza kujiuzulu.
-
Rais wa Algeria ajitokeza hadharani baada ya miaka mingi
Apr 10, 2018 16:37Rais Abdelazizi Bouteflika wa Algeria amejitokeza hadharani baada ya miaka mingi kutoonekana kadamnasi kutokana na hali yake mbaya ya kiafya.
-
Kiongozi wa upinzani Sierra Leone ajitangaza mshindi wa urais
Apr 04, 2018 02:30Jeshi la Sierra Leone limekadhibisha tuhuma za kula njama ya kumuua kiongozi wa upinzani nchini humo, Brigedia Julius Maada Bio ambaye anadai kuwa ameibuka mshindi katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais.
-
Kuibuka mshindi Abdul-Fattah al-Sisi na kuendelea kushika hatamu za uongozi wa Misri
Apr 04, 2018 02:29Rais Abdul Fattah al-Sisi ametangazwa mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa Misri baada ya kujipatia kura milioni 21 sawa na asilimia 97.08 ya kura zote na hivyo kupata ridhaa ya kuiongoza tena nchi hiyo kwa muhula wa pili.
-
UN: Ni hatari kufanyika uchaguzi sasa hivi nchini Libya
Apr 01, 2018 04:09Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya amesema kuwa, ni hatari kufanyika uchaguzi katika mazingira ya hivi sasa nchini Libya.
-
Ripoti: Vijana wamesusia uchaguzi wa rais Misri
Mar 30, 2018 03:30Ripoti zinaonesha kuwa, idadi kubwa ya vijana wa Misri hawakupiga kura katika uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Mahakama ya Juu Sierra Leone yasogeza mbele tarehe ya uchaguzi
Mar 27, 2018 07:26Mahakama ya Juu ya Sierra Leone imeakhirisha tarehe ya kufanyika duru ya pili ya uchaguzi wa rais hadi Machi 31.
-
Sierra Leone kuendelea na duru ya pili ya uchaguzi licha ya agizo la mahakama
Mar 25, 2018 10:53Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Sierra Leone NEC imesema duru ya pili ya uchaguzi wa rais itafanyika kama ilivyopangwa, licha ya agizo la hivi karibuni la mahakama.
-
Rais Mnangagwa ashangazwa na kusajiliwa vyama 112 vya siasa Zimbabwe
Mar 23, 2018 07:26Rais Emmerson Mnangagwa wa Zimbabwe ameeleza kushtushwa na ripoti zinazosema kuwa nchi hiyo imesajili makumi ya vyama vya siasa vitakavyochuana na chama tawala Zanu-PF katika uchaguzi mkuu ujao.