Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • Kuongezeka tofauti katika safu ya uongozi nchini Marekani kuhusiana na suala la Afghanistan

    Kuongezeka tofauti katika safu ya uongozi nchini Marekani kuhusiana na suala la Afghanistan

    Mar 30, 2017 22:02

    Katika hali ambayo makamanda wa jeshi la Marekani hususan John Joseph Nicholson, kamanda wa jeshi la nchi hiyo na Muungano wa Kijeshi wa Nchi za Magharibi (NATO) nchini Afghanistan wanasisitiza udharura wa kuongezwa askari nchini humo, vyombo mbalimbali vya habari nchini Marekani vimeripoti kwamba baadhi ya wabunge wa nchi hiyo wanafanya juhudi za kutaka kuhitimishwa uwepo wa askari wa nchi hiyo huko Afghanistan.

  • Daesh laua zaidi ya watu 30 katika hospitali ya kijeshi Afghanistan

    Daesh laua zaidi ya watu 30 katika hospitali ya kijeshi Afghanistan

    Mar 08, 2017 12:33

    Wanamgambo waliojizatiti kwa silaha nzito wameua zaidi ya watu 30 na kuwajeruhi wengine wapatao 50 katika shambulio walilofanya dhidi ya hospitali kubwa zaidi ya kijeshi ya Sardar Daud Khan iliyopo katikati mwa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul.

  • Rais Ashraf Ghani: Lengo la makundi 20 ya kigaidi ni kuisambaratisha nchi

    Rais Ashraf Ghani: Lengo la makundi 20 ya kigaidi ni kuisambaratisha nchi

    Feb 27, 2017 23:14

    Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa makundi 20 ya kigaidi ambayo yanaendesha harakati zao katika maeneo tofauti ya nchi hiyo dhidi ya raia na askari wa usalama, yana lengo la kulisambaratisha taifa hilo.

  • Afghanistan: Mamia ya wanawake wanafanywa watumwa wa ngono na kundi la ISIS nchini mwetu

    Afghanistan: Mamia ya wanawake wanafanywa watumwa wa ngono na kundi la ISIS nchini mwetu

    Feb 20, 2017 04:40

    Mkuu wa Taasisi ya 'Uadilifu kwa ajili ya Wote' nchini Afghanistan amesema kuwa, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh limewafanya watumwa wa ngono zaidi ya wanawake 100 katika miji tofauti ya mkoa wa Nangarhar nchini humo ndani ya kipindi cha miaka miwili iliyopita.

  • UN: 2016 ulikuwa mwaka wa maafa makubwa zaidi kwa raia wa Afghanistan

    UN: 2016 ulikuwa mwaka wa maafa makubwa zaidi kwa raia wa Afghanistan

    Feb 06, 2017 11:31

    Mpango wa Umoja wa Mataifa wa Msaada kwa Afghanistan (UNAMA) umetangaza kuwa jumla ya raia 3,498 waliuliwa na wengine 7,920 walijeruhiwa katika mwaka 2016 nchini Afghanistan, maafa ambayo kwa sehemu moja yamechangiwa na ongezeko la mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh na mashambulio ya anga ya madola ya kigeni.

  • 100 waaga dunia kutokana na maporomoko ya theluji Afghanistan, Pakistan

    100 waaga dunia kutokana na maporomoko ya theluji Afghanistan, Pakistan

    Feb 06, 2017 04:15

    Makumi ya watu wamepoteza maisha kutokana na maporomoko ya theluji katika nchi za Afghanistan na Pakistan.

  • Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan

    Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan

    Jan 16, 2017 03:03

    Rais mteule wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.

  • Vikosi vya jeshi la Marekani vyakiri kuua raia 33 wa Afghanistan

    Vikosi vya jeshi la Marekani vyakiri kuua raia 33 wa Afghanistan

    Jan 12, 2017 11:58

    Vikosi vya jeshi la Marekani vilivyoko chini ya mwavuli wa shirika la kijeshi la NATO vimekiri kuwa viliua raia 33 wa Afghanistan wakiwemo watoto wadogo katika shambulio la mwezi Novemba jana lililofanywa kwa kisingizio cha kupambana na wanamgambo wa kundi la Taliban.

  • Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi Kabul, Afghanistan

    Magaidi washambulia msikiti kwa bomu na kuua makumi Kabul, Afghanistan

    Nov 22, 2016 02:51

    Makumi ya watu wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti wa Kishia katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul, wakati wa maadhimisho ya Arubaini ya Imam Hussein AS.

  • Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Marekani yatuhumiwa na ICC kutenda jinai za kivita Afghanistan

    Nov 15, 2016 23:26

    Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ametoa taarifa akiituhumu Marekani kwamba, imetenda jinai za kivita nchini Afghanistan.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS