Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afghanistan

  • ICC yakiri kuwa Marekani ilitenda jinai za kivita Afghanistan

    ICC yakiri kuwa Marekani ilitenda jinai za kivita Afghanistan

    Nov 15, 2016 04:28

    Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC imesema wanajeshi wa Marekani na maafisa wa shirika la ujasusi la nchi hiyo CIA yumkini wana hatia ya kufanya jinai dhidi ya binadamu nchini Afghanistan.

  • Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya ubalozi wa Ujerumani

    Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya ubalozi wa Ujerumani

    Nov 12, 2016 04:49

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga ubalozi mdogo wa Ujerumani nchini Afghanistan.

  • Hujuma ya ndege za Marekani yaua makumi ya watu Afghanistan

    Hujuma ya ndege za Marekani yaua makumi ya watu Afghanistan

    Nov 03, 2016 12:52

    Makumi ya watu wameuawa katika shambulio la anga lililofanywa na ndege za Marekani, kaskazini mwa Afghanistan.

  • Wasiwasi wa taathira hasi za kuasisiwa na Saudi Arabia Chuo Kikuu huko Afghanistan

    Wasiwasi wa taathira hasi za kuasisiwa na Saudi Arabia Chuo Kikuu huko Afghanistan

    Oct 17, 2016 04:30

    Mpango wa serikali ya Saudi Arabia wa kujenga Chuo Kikuu cha Kiislamu katika mkoa wa Nangarhar huko Afghanistan umezua wasiwasi kuhusiana na jambo hilo.

  • Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Iran yalaani mauaji ya Waislamu siku ya Ashura Nigeria, Afghanistan

    Oct 13, 2016 01:10

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mauaji ya Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wamejumuika kwa ajili ya maombolezo ya Ashura, katika miji ya Kaduna na Funtua nchini Nigeria hapo jana.

  • Mripuko wa bomu katika maombolezo ya Ashura waua makumi ya watu Afghanistan

    Mripuko wa bomu katika maombolezo ya Ashura waua makumi ya watu Afghanistan

    Oct 12, 2016 23:17

    Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea kwenye mkusanyiko wa maombolezo ya Ashura ya Imam Hussein (as) katika jimbo la Balkh kaskazini mwa Afghanistan.

  • Jeshi la Afghanistan: Tumemuua kamanda mkubwa wa kundi la Taleban

    Jeshi la Afghanistan: Tumemuua kamanda mkubwa wa kundi la Taleban

    Sep 21, 2016 04:13

    Wizara ya Mambo ya Ndani nchini Afghanistan imetangaza kuuawa mmoja wa makamanda wa ngazi za juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Taleban.

  • Taarifa ya pamoja ya Iran na Afghanistan kwa ajili ya kufikia stratejia ya pamoja

    Taarifa ya pamoja ya Iran na Afghanistan kwa ajili ya kufikia stratejia ya pamoja

    Aug 07, 2016 08:40

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afghanistan zitaimarisha ushirikiano kati yao katika nyanja tofauti ili kufikia stratejia ya pamoja.

  • Shamkhani asisitiza ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Afghanistan

    Shamkhani asisitiza ushirikiano wa kistratejia kati ya Iran na Afghanistan

    Aug 06, 2016 08:53

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesisitiza udharura wa kuendelezwa mazungumzo ya kiusalama kati ya Tehran na Kabul ili kupata njia ya kudumu ya kurejesha amani katika mipaka ya pamoja na kupambana na ugaidi.

  • Magaidi 120 wa Daesh wauawa Afghanistan

    Magaidi 120 wa Daesh wauawa Afghanistan

    Jul 26, 2016 23:30

    Makumi ya wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wameuawa katika operesheni kali ya jeshi la Afghanistan, katika mkoa wa Nangarhar, kaskzini mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS