Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Nigeria: BRICS inayahamasisha mataifa ya Afrika

    Nigeria: BRICS inayahamasisha mataifa ya Afrika

    Aug 29, 2024 23:09

    Balozi wa Manispaa ya Kimataifa ya BRICS (IMBRICS) nchini Nigeria amesema jumuiya ya kiuchumi ya BRICS imekuwa chanzo kikubwa cha motisha na hamasa kwa nchi nyingi za Afrika, kwa kuwa inazihimiza kupigania uhuru wao na kupinga ushawishi na ubeberu wa Magharibi.

  • Afrika kupata chanjo za mpox karibu milioni moja

    Afrika kupata chanjo za mpox karibu milioni moja

    Aug 29, 2024 04:12

    Wakala wa Afya wa Umoja wa Afrika jana ulieleza kuwa unakaribia kupata karibu dozi milioni moja za chanjo ya mpox, na kuwataka wazalishaji kuzipatia taasisi nyingine teknolojia ya kutengeneza chanjo ya mpox ili kukabiliana na ugonjwa huo.

  • Shirika la UN linatafuta msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Mpox

    Shirika la UN linatafuta msaada wa dola milioni 18.5 kwa ajili ya kutibu ugonjwa wa Mpox

    Aug 21, 2024 22:47

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM) jana Jumatano lilianzisha ukusanyaji fedha zipatazo dola milioni 18.5 zitazotumika kutoa huduma muhimu za afya kwa wahamiaji, wakimbizi wa ndani na jamii wenyeji katika nchi za mashariki, kusini na katika Pembe ya Afrika zilizo katika hatari ya kukumbwa na ugonjwa wa Mpox.

  • SADC: Watu milioni 68 wanasumbuliwa na ukame kusini mwa Afrika

    SADC: Watu milioni 68 wanasumbuliwa na ukame kusini mwa Afrika

    Aug 18, 2024 03:32

    Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema makumi ya mamilioni ya watu wameathiriwa na ukame uliosababishwa na El Nino katika eneo la Kusini mwa Afrika, na wanahitaji msaada wa haraka wa chakula.

  • Guterres akosoa muundo wa Baraza la Usalama na kuunga mkono uanachama wa mwakilishi wa Afrika katika baraza la UN

    Guterres akosoa muundo wa Baraza la Usalama na kuunga mkono uanachama wa mwakilishi wa Afrika katika baraza la UN

    Aug 15, 2024 22:57

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, ametangaza uungaji mkono wake wa kufanyika mabadiliko katika muundo wa Baraza la Usalama na umoja huo na uanachama wa kudumu wa mjumbe wa Afrika katika chombo hicho.

  • WHO: Wanaoambukizwa zaidi Mpox ni wanaume kupitia ngono

    WHO: Wanaoambukizwa zaidi Mpox ni wanaume kupitia ngono

    Aug 15, 2024 04:14

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa, kesi 9 kati ya 10 za homa ya nyani (Mpox) zinawakabili wanaume, ambapo aghalabu yao wanaambukizwa kwa njia ya zinaa.

  • UN: Mafuriko yawaathiri maelfu ya watu magharibi na katikati mwa Afrika

    UN: Mafuriko yawaathiri maelfu ya watu magharibi na katikati mwa Afrika

    Aug 14, 2024 04:16

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imeripoti kuwa watu zaidi ya 700,000 wameathiriwa na mafuriko makubwa yaliyosababishwa na mabadiliko ya tabianchi mwaka huu huko magharibi na katikati mwa Afrika.

  • Ujangili wa Magharibi umepunguza mno idadi ya simba barani Afrika

    Ujangili wa Magharibi umepunguza mno idadi ya simba barani Afrika

    Aug 10, 2024 07:44

    Huku ulimwengu ukiadhimisha Siku ya Simba Duniani leo Agosti 10, imebainika kuwa idadi ya mnyamapori huyo inapungua kwa kiwango cha kutisha barani Afrika kutokana na ujangili unaofanywa na nchi za Magharibi.

  • Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika

    Kani: Iran haina mipaka katika kuimarisha uhusiano na Afrika

    Aug 09, 2024 03:49

    Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu haina kikomo wala mipaka katika kuimarisha na kupanua uhusiano wake na nchi za bara Afrika.

  • AU: Afrika ina uhaba wa walimu milioni 15

    AU: Afrika ina uhaba wa walimu milioni 15

    Jul 20, 2024 02:44

    Bara la Afrika linakabiliwa na upungufu wa walimu zaidi ya milioni 15. Hayo yamesemwa na Mohammed Belhocine, Kamishna wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ubunifu wa Umoja wa Afrika katika kikao na waandishi wa habari pambizoni mwa Kikao cha 45 cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya AU, mjini Accra, Ghana.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS