-
Kifo kimoja kati ya vitano vya ajali za barabarani duniani hutokea Afrika
Jul 17, 2024 22:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema katika ripoti yake kuwa ajali ya barabarani katika muongo uliopita zimeongezeka kwa kiasi kikubwa katika kanda ya Afrika, na kwamba mwaka 2021 pekee karibu watu 250,000 walipoteza maisha katika ajali za barabarani barani humo.
-
Ethiopia: Bara la Afrika lina hamu ya kujiunga na BRICS
Jul 14, 2024 07:05Spika wa Bunge la Ethiopia amesema aghalabu ya nchi za Afrika zina hamu ya kuwa wanachama wa kundi la BRICS la mataifa yanayoinukia kiuchumi duniani.
-
Makundi ya kisiasa Sudan yakataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo
Jul 08, 2024 03:37Mkutano wa makundi ya kisiasa na kiraia ya Sudan ulimalizika jana mjini Cairo, Misri ambapo vyama vya Sudan vilijadili njia za kutatua mgogoro wa ndani wa nchi hiyo, huku baadhi ya makundi yakikataa kutia saini taarifa ya mwisho ya mkutano wa Cairo.
-
Watu milioni 66 wanakabiliwa na uhaba wa chakula Pembe ya Afrika
Jul 04, 2024 22:43Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) na Jumuiya ya Kiserikali ya Maendeleo ya Afrika Mashariki IGAD zimesema katika ripoti yao mpya kwamba, watu milioni 66.7 katika eneo pana la Pembe ya Afrika hawana usalama wa chakula.
-
Chama cha Jacob Zuma chaungana na upinzani Afrika Kusini
Jun 17, 2024 23:06Jacob Zuma Rais wa zamani wa Afrika Kusini amesema kuwa, chama chake kitaungana na muungano wa upinzani kushirikiana kuipinga serikali huku kikishikilia msimamo wake wa kupinga matokeo ya uchaguzi wa bunge mahakamani.
-
Serikali ya Sudan yakanusha kuwepo njaa nchini humo
Jun 15, 2024 23:09Serikali ya Sudan imekanusha uwezekano wa kutokea baa la njaa nchini humo. Hayo ni kwa mujibu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan.
-
Ripoti: 90% ya migogoro iliyopuuzwa duniani ipo Afrika
Jun 06, 2024 00:54Shirika moja la kibinadamu limesema aghalabu ya migogoro iliyotelekezwa duniani ipo katika nchi za bara Afrika.
-
Wataalamu: Eneo huria la biashara barani Afrika litachochea ukuaji wa biashara jumuishi
May 27, 2024 23:19Wataalamu wa Kiafrika walisema jana Jumatatu huko Nairobi Kenya kwamba utekelezaji kamili wa Eneo Huria la Biashara barani Afrika (AfCFTA) utaleta ukuaji shirikishi katika bara zima.
-
Iran yapongeza maadhimisho ya "Siku ya Afrika"
May 26, 2024 03:41Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza na kutoa mkono wa kheri kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Afrika (Africa Day).
-
Guterres: Afrika ina mchango muhimu kwa amani na usalama wa dunia
May 24, 2024 03:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameashiria nafasi muhimu ya Afrika katika kuufanya ulimwengu uwe pahala pazuri na salama na kusisitiza kuwa, "Wakati umefika wa kuanika uwezo wa amani wa Afrika."