Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Takwa la Umoja wa Afrika kwa Wamagharibi la kuamiliana kwa heshima na mataifa masikini

    Takwa la Umoja wa Afrika kwa Wamagharibi la kuamiliana kwa heshima na mataifa masikini

    Oct 25, 2022 23:01

    Kupamba moto vita vya Russia na Ukraine na kusambaa mgogoro wa kiuchumi katika akthari ya mataifa ya dunia, kumezifanya nchi za Kiafrika zitengwe na kutupwa mkono zaidi.

  • Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia

    Maandamano ya kupinga siasa za Marekani nchini Ethiopia

    Oct 25, 2022 06:27

    Sambamba na kushtadi mapigano nchini Ethiopia na kuvunjwa makubalianao ya usitishaji vita ya miezi mitano na kuwaka tena moto wa vita katika nchi hiyo, maelfu ya Waethiopia walifanya maandamano ya nchi nzima siku ya Jumamosi kulaani uingiliaji wa madola ya kigeni, hasa Marekani, katika masuala ya ndani ya nchi yao.

  • Hujuma za magaidi zaongezeka kwa 300% Afrika licha ya operesheni za US

    Hujuma za magaidi zaongezeka kwa 300% Afrika licha ya operesheni za US

    Oct 24, 2022 00:32

    Ripoti mpya ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) inaonesha kuwa, mashambulizi ya magenge ya wanamgambo yameongezeka kwa asilimia 300 katika nchi za Afrika katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.

  • Afrika mhanga wa matokeo na taathira ya migogoro ya kimataifa

    Afrika mhanga wa matokeo na taathira ya migogoro ya kimataifa

    Oct 17, 2022 02:18

    Akthari ya mataifa ya Afrika ambayo katika miongo ya hivi karibuni yalifanya hima kubwa ya kujenga miundomsingi yao ya kiuchumi kwa minajili ya kuboresha hali ya uchumi wao, filihali yanahesabiwa kuwa wahanga wakubwa zaidi wa matukio ya sasa ulimwenguni.

  • Oxfam: Ukame unatishia maisha ya maelfu ya watu barani Afrika

    Oxfam: Ukame unatishia maisha ya maelfu ya watu barani Afrika

    Oct 15, 2022 23:44

    Shirika la misaada ya kibinadamu la Oxfam limetangaza kuwa, ukame barani Afrika huenda ukaua maelfu ya watu katika siku za usoni.

  • UN: Watu karibu milioni 4 wanabikiliwa na utumwa mamboleo Afrika

    UN: Watu karibu milioni 4 wanabikiliwa na utumwa mamboleo Afrika

    Oct 08, 2022 07:44

    Taasisi za Umoja wa Mataifa zimetoa ripoti mpya inayoonesha kushamiri kwa utumwa mamboleo katika nchi za Afrika, ambapo katika kila watu 1000, 29 wanafanyishwa kazi za sulubu barani humo.

  • Ripoti: Zaidi ya watu milioni 37 wanataabika na njaa Pembe ya Afrika

    Ripoti: Zaidi ya watu milioni 37 wanataabika na njaa Pembe ya Afrika

    Sep 24, 2022 23:13

    Inaelezwa kuwa, zaidi ya watu milioni 37 katika eneo la Pembe ya Afrika wanataabika na baa la njaa ambayo imechangiwa na ukame mbaya sana, ambao umeua takriban wanyama milioni 9.

  • John Kerry wa Marekani akosolewa kwa kupuuza mabadiliko ya tabianchi Afrika

    John Kerry wa Marekani akosolewa kwa kupuuza mabadiliko ya tabianchi Afrika

    Sep 19, 2022 06:29

    Wanaharakati wa hali ya hewa safi kutoka nchi za Afrika zilizo Kusini mwa jangwa la Sahara, wamemkosoa vikali mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya tabianchi John Kerry kwa kutoa ahadi za uongo kuhusu kusaidiwa bara la Afrika kukabiliana na athari mbaya za uchafuzi wa hewa.

  • Afrika CDC: Janga la Corona bado ni tishio kwa bara la Afrika

    Afrika CDC: Janga la Corona bado ni tishio kwa bara la Afrika

    Sep 15, 2022 23:30

    Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) amesema ugonjwa wa COVID-19 bado ni tishio kwa nchi za Afrika, kwa kuzingatia idadi ndogo ya watu waliopiga chanjo za kukabiliana na maradhi hayo barani humo.

  • Viongozi wa nchi za Afrika wazitaka nchi tajiri kutekeleza ahadi zao

    Viongozi wa nchi za Afrika wazitaka nchi tajiri kutekeleza ahadi zao

    Sep 10, 2022 02:24

    Wawakilishi wa nchi 24 za Afrika wamezitaka nchi zilizoendelea kutekeleza ahadi zao za kutoa msaada wa kifedha kwa bara la Afrika ilikukabiliana na changamoto za mabadiliko ya hali ya hewa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS