Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Ufaransa yadai kumuua kiongozi wa Daesh katika eneo la Sahel

    Ufaransa yadai kumuua kiongozi wa Daesh katika eneo la Sahel

    Sep 16, 2021 03:35

    Rais wa Ufaransa ametangaza habari ya kuuliwa kiongozi wa magaidi wa kundi la Daesh katika eneo la Sahel.

  • Watu milioni  7.87 wameambukizwa corona barani Afrika

    Watu milioni 7.87 wameambukizwa corona barani Afrika

    Sep 04, 2021 22:46

    Nchi za Kiafrika zilirekodi maambukizi mapya 25,477 ya COVID-19 katika masaa 24 kufikia Jumamosi na hivyo kuifanya jumla ya watu walioambukizwa ugonjwa huo hadi kufikia sasa barani humo kuwa milioni 7.87.

  • Waasi wa Tigray, Ethiopia wakataa upatanishi wa mjumbe wa AU

    Waasi wa Tigray, Ethiopia wakataa upatanishi wa mjumbe wa AU

    Aug 29, 2021 21:58

    Wapiganaji wa Harakati ya Ukombozi ya Watu wa Tigray (TPLF) wamepinga na kukosoa vikali hatua ya Umoja wa Afrika kumteua aliyekuwa rais wa Nigeria kuwa mpatanishi katika mgogoro unaoshuhudiwa kwa miezi kadhaa sasa katika eneo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia.

  • Hofu ya Baraza la Usalama ya kuenea ugaidi barani Afrika

    Hofu ya Baraza la Usalama ya kuenea ugaidi barani Afrika

    Aug 20, 2021 21:58

    Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimeleeza wasi wasi wao juu ya kuenea harakati za makundi ya kigaidi katika nchi za Afrika.

  • WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%

    WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%

    Aug 20, 2021 03:10

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 tangu janga hilo lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo zikiwa zinakabiliwa na miripuko mingine ya kipindupindu, ugonjwa wa Ebola na ugonjwa wa Virusi vya homa ya Marburg ambayo inatishia kuongeza shinikizo katika uwezo wa utoaji huduma katika ukanda huo.

  • Algeria yaendelea kupinga Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika

    Algeria yaendelea kupinga Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika

    Aug 09, 2021 21:55

    Utata mkubwa ulioibuka baada ya utawala wa Kizayuni wa Israel kupewa hadhi ya mwanachama mwangalizi katika Umoja wa Afrika ungali unaendelea.

  • Idadi ya walioaga dunia kwa Corona yavunja rekodi Afrika

    Idadi ya walioaga dunia kwa Corona yavunja rekodi Afrika

    Aug 06, 2021 07:50

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa idadi ya wagonjwa walioaga dunia kwa ugonjwa wa Covid-19 katika nchi za Kiafrika imevunja rekodi.

  • Raeisi ataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za Afrika

    Raeisi ataka kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za Afrika

    Aug 05, 2021 08:05

    Rais wa Iran amesema kiwango cha uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Ghana hakiridhishi na kwamba kuna haja ya kuimarishwa zaidi mahusiano hayo.

  • Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Msimamo mmoja wa nchi 14 za Afrika wa kupinga utawala wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika

    Aug 01, 2021 02:15

    Kanali ya al-Waaqe' ya Algeria ilitangaza Jumamosi kuwa nchi hiyo imeanzisha rasmi mchakato wa kubuni kundi la Kiafrika litakalofuatilia kutenguliwa uamuzi wa kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kuwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Afrika AU, ili kulinda misingi ya umoja huo inayounga mkono taifa la Palestina.

  • Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 6 na laki 6

    Kesi za Corona barani Afrika zapindukia milioni 6 na laki 6

    Jul 31, 2021 22:30

    Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (Corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia jana Jumamosi imepindukia laki sita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS