-
Wanasiasa Uganda watakiwa kuchunga matamshi yao kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola + Sauti
May 31, 2018 13:10Wanasiasa nchini Uganda wameonywa kuhusu kutoa matamshi yanayoweza kuzusha hofu na wasiwasi mkubwa nchini Uganda na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki kuhusu ugonjwa hatari wa Ebola. Mwandishi wetu Kigozi Ismail ametutayarishia ripoti maalumu kuhusu suala hilo...
-
Taharuki Cameroon kufuatia mauaji ya makumi ya watu (RIPOTI)
May 28, 2018 12:30Wakazi wa kaskazini magharibi mwa Cameroon wangali wanaishi katika hali ya taharuki, baada ya makumi ya watu kuuawa katika machafuko yaliyotokea siku chache zilizopita.
-
Gutteres: Dunia iunge mkono azma ya Afrika yenye amani na ustawi
May 25, 2018 21:52Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa wito kwa dunia kuunga mkono nchi za Afrika ili ziweze kupiga hatua zaidi katika ustawi na maendeleo.
-
Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika
May 24, 2018 03:06Waziri wa zamani wa masuala ya kidini wa Senegal ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujipenyeza Wazayuni barani Afrika.
-
EAC: Utashi wa serikali kwenye miradi unatia matumaini ya kupatikana maendeleo endelevu (RIPOTI)
May 19, 2018 23:58Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki amesema utashi wa serikali za mataifa yanayounda jumuiya hiyo unaweka matumaini ya kupata maendeleo endelevu kwenye nchi hizo zinazounda jumuiya ya mataifa sita ya Afrika mashariki.
-
IMF yatoa indhari kutokana na ongezeko la madeni ya nchi za Kiafrika
May 08, 2018 22:28Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetahadharisha kuwa licha ya kuwepo ukuaji wa uchumi katika nchi za Afrika lakini madeni yanayozikabili nchi za bara hilo pia yanaongezeka.
-
Marekani yapanua uwepo wake wa kijeshi barani Afrika
Apr 25, 2018 01:08Marekani imetangaza kuwa inajenga kituo cha ndege zisizo na rubani (drone) za kijeshi nchini Niger kwa shabaha eti ya kukabiliana na makundi ya kigaidi.
-
Ripoti: Wahajiri wa Kiafrika walioko US wamesoma kuliko Wamarekani wenyewe
Apr 24, 2018 22:01Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew umeonyesha kuwa, kuna mwanya mkubwa wa kiwango cha elimu kati ya wahajiri wa Kiafrika wanaoishi Marekani na raia wa asili wa nchi hiyo.
-
Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika
Apr 23, 2018 22:47Jeshi la Marekani linajenga kituo cha ndege za kivita zisizo na rubani nchini Niger kwa lengo la kukabiliana na kile wakuu wa Washington wanadai ni 'makundi ya kigaidi' barani Afrika.
-
Kubadilishwa jina la Swaziland, sasa yaitwa eSwatini
Apr 21, 2018 02:44Mfalme wa Swaziland amebadili jina la nchi hiyo na kuwa eSwatini kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 50 wa kukomeshwa ukoloni wa Uingereza nchini humo.