Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Gutteres: Dunia iunge mkono azma ya Afrika yenye amani na ustawi

    Gutteres: Dunia iunge mkono azma ya Afrika yenye amani na ustawi

    May 25, 2018 21:52

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ametoa wito kwa dunia kuunga mkono nchi za Afrika ili ziweze kupiga hatua zaidi katika ustawi na maendeleo.

  • Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika

    Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika

    May 24, 2018 03:06

    Waziri wa zamani wa masuala ya kidini wa Senegal ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujipenyeza Wazayuni barani Afrika.

  • EAC: Utashi wa serikali kwenye miradi unatia matumaini ya kupatikana maendeleo endelevu (RIPOTI)

    EAC: Utashi wa serikali kwenye miradi unatia matumaini ya kupatikana maendeleo endelevu (RIPOTI)

    May 19, 2018 23:58

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki amesema utashi wa serikali za mataifa yanayounda jumuiya hiyo unaweka matumaini ya kupata maendeleo endelevu kwenye nchi hizo zinazounda jumuiya ya mataifa sita ya Afrika mashariki.

  • IMF yatoa indhari kutokana na ongezeko la madeni ya nchi za Kiafrika

    IMF yatoa indhari kutokana na ongezeko la madeni ya nchi za Kiafrika

    May 08, 2018 22:28

    Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetahadharisha kuwa licha ya kuwepo ukuaji wa uchumi katika nchi za Afrika lakini madeni yanayozikabili nchi za bara hilo pia yanaongezeka.

  • Marekani yapanua uwepo wake wa kijeshi barani Afrika

    Marekani yapanua uwepo wake wa kijeshi barani Afrika

    Apr 25, 2018 01:08

    Marekani imetangaza kuwa inajenga kituo cha ndege zisizo na rubani (drone) za kijeshi nchini Niger kwa shabaha eti ya kukabiliana na makundi ya kigaidi.

  • Ripoti: Wahajiri wa Kiafrika walioko US wamesoma kuliko Wamarekani wenyewe

    Ripoti: Wahajiri wa Kiafrika walioko US wamesoma kuliko Wamarekani wenyewe

    Apr 24, 2018 22:01

    Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew umeonyesha kuwa, kuna mwanya mkubwa wa kiwango cha elimu kati ya wahajiri wa Kiafrika wanaoishi Marekani na raia wa asili wa nchi hiyo.

  • Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika

    Apr 23, 2018 22:47

    Jeshi la Marekani linajenga kituo cha ndege za kivita zisizo na rubani nchini Niger kwa lengo la kukabiliana na kile wakuu wa Washington wanadai ni 'makundi ya kigaidi' barani Afrika.

  • Kubadilishwa jina la Swaziland, sasa yaitwa eSwatini

    Kubadilishwa jina la Swaziland, sasa yaitwa eSwatini

    Apr 21, 2018 02:44

    Mfalme wa Swaziland amebadili jina la nchi hiyo na kuwa eSwatini kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 50 wa kukomeshwa ukoloni wa Uingereza nchini humo.

  • Uchumi wa Afrika Kusini mwa Sahara kustawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2018

    Uchumi wa Afrika Kusini mwa Sahara kustawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2018

    Apr 20, 2018 02:56

    Benki ya Dunia imepandisha makadirio yake kuhusu ustawi wa uchumi wa Afrika kuwa asilimia 3.1 mwaka 2018, baada ya uchumi wa kanda hiyo kudidimia kwa miaka mitatu kutokana na kushuka kwa bei za bidhaa kimataifa.

  • HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen

    HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen

    Apr 18, 2018 03:08

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS