-
Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi afungua mashindano ya baskeli ya Afrika Mashariki na Kati
Dec 12, 2017 04:49Jumuiya ya Afrika Mashariki imeandaa mashindano ya baskeli nchini Burundi yaliyitishwa kamaishara ya amani nchini humo. Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ni mshiriki wa mashindano hayo ndiye aliyeyazindua. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi:
-
Kwa siku watu 15000 wanalazimika kuwa wakimbizi wa ndani barani Afrika
Dec 06, 2017 04:27Vita, ukatili na unyanyasaji unaoendelea kushuhudiwa katika nchi nyingi za Afrika vimesababisha wastani wa watu 15 elfu kuwa wakimbizi wa ndani kila siku, katika nusu ya kwanza ya mwaka huu 2017.
-
AU yafanya kikao cha kuzungumzia hali ya wakimbizi nchini Libya
Dec 04, 2017 11:40Umoja wa Afrika AU umeitisha kikao cha kuchunguza hatua za kivitendo za kuwakomboa wahamiaji wa Kiafrika katika jela za Libya na kuwarejesha katika nchi zao.
-
Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya nchini Ivory Coast
Nov 30, 2017 08:10Kikao cha tano cha Umoja wa Afrika (AU) na Umoja wa Ulaya (EU) kilianza hapo jana na kuendelea hadi leo katika mji mkuu wa Ivory Coast, Abidjan.
-
Njama za utawala haramu wa Israel za kujipenyeza barani Afrika
Nov 29, 2017 13:13Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel ambaye serikali yake inafanya njama za kujipenyeza barani Afrika amesema kuwa, ana matumaini utawala huo ghasibu utafungua ubalozi mpya katika moja ya nchi za barani hilo.
-
Mbinu za Netanyahu za kutaka kupanua uhusiano wa Israel na nchi za Afrika
Nov 29, 2017 11:00Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amefanya safari yake ya tatu barani Afrika katika mkakati wake wa kutaka kupanua uhusiano wa utawala huo haramu na nchi za bara hilo kwa kuitembelea Kenya kwa kisingizio cha kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.
-
Macron: Ufaransa haitokuwa ikiwaamuru tena Waafrika nini wafanye
Nov 28, 2017 13:14Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema yeye anatokana na kizazi cha viongozi ambao hawatokuwa wakiwaambia Waafrika nini wafanye na badala yake ataelekeza juhudi zake katika kuimarisha uhusiano wa Afrika na Ulaya.
-
Safari ya Rais wa Ufaransa barani Afrika na uhusiano wa pande hizo mbili
Nov 28, 2017 04:03Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Afrika kwa shabaha ya kuzidisha uhusiano wa kisiasa na kiuchumi baina ya nchi yake na nchi za bara hilo.
-
Iran: Afrika isigeuzwe kimbilio la magenge ya kigaidi na ukufurishaji
Nov 24, 2017 12:25Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kufanyika jitihada za kuzuia bara la Afrika kugeuka kuwa kimbilio na kitovu cha magenge ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu ada, kufuatia kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq.
-
Waislamu Mombasa Kenya walalamikia mavazi ya nusu uchi + Sauti
Nov 24, 2017 02:41Waislamu nchini Kenya wamekosoa vikali tabia ya baadhi ya vijana kuvaa mavazi yasiyo ya heshima na kutoa mwito kwa serikali ya Kenya kuiga mfano wa Uganda ambayo inashinikiza mavazi ya heshima hasa katika maeneo ya umma. Seifullah Murtadha na maelezo zaidi