Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Takwa la kupambana na miamala haramu ya kifedha barani Afrika

    Takwa la kupambana na miamala haramu ya kifedha barani Afrika

    Mar 14, 2016 23:32

    Rais Macky Sall wa Senegal ametoa wito wa kuanzishw amapambano dhidi ya miamala haramu ya kifedha barani Afrika.

  • UN yapasisha azimio la kuwarejesha nyumbani askari wake ‘wabakaji’

    UN yapasisha azimio la kuwarejesha nyumbani askari wake ‘wabakaji’

    Mar 12, 2016 11:49

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio linalotaka kurejeshwa nyumbani kikosi cha kulinda amani cha umoja huo, ambacho askari wake wanatuhumiwa kuhusika na vitendo vya ubakaji.

  • Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kodivaa

    Kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kodivaa

    Mar 12, 2016 04:32

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa tayari kuimarisha uhusiano wake na Ivory Coast katika nyanja mbali mbali.

  • EAC yapata Katibu Mkuu mpya

    EAC yapata Katibu Mkuu mpya

    Mar 02, 2016 23:38

    Mwanadiplomasia wa Burundi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Viongozi wa nchi 5 za jumuiya hiyo mbali na kuidhinisha uanachama wa Sudan Kusini pia wamemteua Liberat Mfumukeko kuchukua nafasi ya Dkt. Richard Sezibera ambaye anamaliza muda wake.

  • Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Nchi za Afrika Mashariki kupiga marufuku mitumba

    Feb 27, 2016 22:59

    Viongozi wa nchi za Afrika Mashariki watakutana Arusha, Tanzania Jumatano ijayo kujadili upigaji marufuku uingizaji wa nguo zilizotumika au mitumba, magari yaliyotumika na bidhaa za ngozi kutoka nje ya eneo eneo hilo.

  • Sisitizo la nchi za Afrika juu ya kuvutia uwekezaji kwa ajili ya kuimarisha vyanzo vya maji

    Sisitizo la nchi za Afrika juu ya kuvutia uwekezaji kwa ajili ya kuimarisha vyanzo vya maji

    Feb 27, 2016 03:11

    Kongamano la 18 la viongozi wa bara la Afrika kwa ajili ya maji (AFWA) lililofanyika hivi karibuni jijini Nairobi, mji mkuu wa Kenya, limetaka kuwepo uwekezaji mpya kwa ajili ya kuongeza vyanzo vya upatikanaji maji barani humo.

  • Waafrika wataka uwekezaji zaidi katika sekta ya maji

    Waafrika wataka uwekezaji zaidi katika sekta ya maji

    Feb 26, 2016 00:11

    Viongozi wa nchi za Kiafrika wametoa wito wa kuwekeza zaidi katika sekta ya maji ili kurahisisha upatikanaji wa maji barani humo.

  • Wasiwasi kuhusu kuenea umasikini Afrika

    Wasiwasi kuhusu kuenea umasikini Afrika

    Feb 25, 2016 08:16

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema umasikini ni adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu barani Afrika.

  • Kabila: Umaskini ni adui mkubwa wa Afrika

    Kabila: Umaskini ni adui mkubwa wa Afrika

    Feb 24, 2016 22:45

    Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo amesema kuwa umaskini ndio adui mkubwa wa watu wa eneo la Maziwa Makuu ya Afrika.

  • Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi

    Jacob Zuma kutembelea Iran karibuni hivi

    Feb 22, 2016 04:22

    Mtandao mmoja wa habari wa Afrika Kusini umesema kuwa, Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo anatarajiwa kutembelea Iran mwishoni mwa mwezi huu wa Februari.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS