Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Ziara ya kiduru ya Lavrov katika nchi za Afrika; jitihada za Russia za kuzidisha satwa yake barani Afrika

    Ziara ya kiduru ya Lavrov katika nchi za Afrika; jitihada za Russia za kuzidisha satwa yake barani Afrika

    Jan 28, 2023 08:50

    Sergei Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Jumatatu tarehe 23 mwezi huu alianza safari ya kiduru kwa kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na hadi sasa amefanya safari huko Afrika Kusini, Eswatini, Angola na Eritrea.

  • Lavrov atetea maneva ya baharini na Afrika Kusini akiwa ziarani nchini humo

    Lavrov atetea maneva ya baharini na Afrika Kusini akiwa ziarani nchini humo

    Jan 23, 2023 23:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kwamba Moscow haitaki kile alichokiita “chokochoko” zozote kuhusu mazoezi ya pamoja ya majeshi ya majini kati ya nchi hiyo, China na Afrika Kusini yaliyopangwa kufanyika mwezi ujao.

  • Afrika Kusini yasema BRICS inatafakari kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani

    Afrika Kusini yasema BRICS inatafakari kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani

    Jan 18, 2023 07:27

    Nchi za Jumuiya ya BRICS ya mataifa yanayoibukia kiuchumi inataka kutupilia mbali sarafu ya dola ya Marekani na badala yake kuunda mfumo bora wa malipo ambao hautapendelea nchi tajiri.

  • Nyumba 200 zateketezwa kwa moto nchini Afrika Kusini

    Nyumba 200 zateketezwa kwa moto nchini Afrika Kusini

    Jan 02, 2023 23:34

    Moto mkubwa uliotokea katika kitongoji duni nje kidogo ya mji wa Cape Town nchini Afrika Kusini umeua mwanamke mmoja na kuharibu zaidi ya nyumba 200.

  • Afrika Kusini yapinga Israel kujiunga na Umoja wa Afrika

    Afrika Kusini yapinga Israel kujiunga na Umoja wa Afrika

    Dec 17, 2022 08:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa wa Afrika Kusini amesema kujiunga utawala wa Kizayuni wa Israel na Umoja wa Afrika ni sawa na tusi kwa moyo wa hati ya umoja huo.

  • Msemaji wa Rais wa Afrika Kusini: Ramaphosa hatajiuzulu

    Msemaji wa Rais wa Afrika Kusini: Ramaphosa hatajiuzulu

    Dec 04, 2022 03:32

    Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye yupo chini ya mashinikizo ya kutakiwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomzunguka amesisitiza kuwa kiongozi huyo hatoachia ngazi.

  • Ramaphosa atakiwa kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi, mwenyewe amezikanusha

    Ramaphosa atakiwa kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi, mwenyewe amezikanusha

    Dec 02, 2022 07:27

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini anakabiliwa na miito mbalimbali inayomtaka ajiuzulu baada ya uchunguzi wa Bunge kubaini kuwa huweda alikiuka sheria za kupambana na ufisadi kuhusiana na wizi wa mamilioni ya dola katika shamba lake la Phala Phala.

  • Maandamano yafanyika Afrika Kusini kulaani kuachiwa Mzungu katili

    Maandamano yafanyika Afrika Kusini kulaani kuachiwa Mzungu katili

    Dec 01, 2022 23:13

    Wananchi wa Afrika Kusini wamefanya maandamano kulalamikia hatua ya mahakama ya nchi hiyo kumuachia huru raia mbaguzi wa Poland aliyemuua mmoja wa viongozi waliokuwa wanapinga utawala wa zamani wa ubaguzi wa rangi (apartheid).

  • Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran

    Balozi wa Afrika Kusini akosoa vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Iran

    Nov 28, 2022 23:54

    Balozi wa Afrika Kusini nchini Iran amekosoa kuendelea vikwazo vya madola ya Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mahakama Afrika Kusini yakosolewa kwa kumuachia Mzungu katili

    Mahakama Afrika Kusini yakosolewa kwa kumuachia Mzungu katili

    Nov 22, 2022 04:33

    Uamuzi wa Mahakama ya Kikatiba ya Afrika Kusini kumuachia huru raia mbaguzi wa Poland aliyekuwa akitumia kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Chris Hani, mmoja wa viongozi waliokuwa wanapinga utawala wa zamani wa ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini (apartheid).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS