-
Afrika Kusini yatuhumiwa kushirikiana na Saudia katika mauaji ya watu wa Yemen
Oct 08, 2018 11:17Serikali ya Afrika Kusini imetuhumiwa kuwa inashirikiana na Saudi Arabia katika mauaji yanayofanywa na utawala huo wa kifalme dhidi ya raia wasio na hatia nchini Yemen.
-
Afrika Kusini yapongeza ushindi wa Iran dhidi ya Marekani katika mahakama ya ICJ
Oct 07, 2018 04:18Idara ya Uhusiano na Ushirikiano wa Kimataifa ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) kuiagiza Washington isimamishe vikwazo vyake vya upande mmoja dhidi ya Iran haraka iwezekanavyo.
-
Afrika Kusini yatakiwa kusitisha ushirikiano wake wa kijeshi na Saudia
Oct 04, 2018 23:33Wanaharakati wa masuala ya amani na haki za binadamu wa Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo isimamishe ushirikiano wake wa kijeshi na Saudi Arabia kutokana na ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Riyadh hususan nchini Yemen.
-
Namibia kuwapokonya wazungu mashamba kama Afrika Kusini
Oct 04, 2018 10:41Rais wa Namibia ameahidi kwamba atatwaa mashamba ya kilimo yanayomilikiwa na Wazungu nchini humo na kuyagawa kwa wananchi wazalendo wa nchi hiyo.
-
Waafrika Kusini waandamana kupinga ukosefu wa amani
Oct 01, 2018 23:42Maandamano yaliyofanywa na wakazi wa jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini kulalamikia hali mbaya ya ukosefu wa usalama yamegeuka na kuwa ghasia na machafuko makubwa.
-
Afrika Kusini yakanusha taarifa za kurejea tena balozi wake mjini Tel Aviv
Sep 26, 2018 23:30Serikali ya Afrika Kusini imekanusha taarifa zilizoenea kwamba, imemrejesha huko Tel Aviv balozi wake ambaye ilimwita nyumbani mwezi Mei mwaka huu.
-
Rais wa Afrika Kusini atoa wito wa kupasishwa mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia
Sep 26, 2018 00:36Rais wa Afrika Kusini amezitaka nchi zote duniani kutia saini mkataba wa kuzuia silaha za nyuklia wa mwaka 2017 TPNW kwa kifupi.
-
Shule za Afrika Kusini kuanza kufunza Kiswahili
Sep 18, 2018 02:47Waziri wa Elimu ya Msingi wa Afrika Kusini amesema shule za nchi hiyo zitaanza kufunza lugha ya Kiswahili kuanzia mwaka 2020.
-
Wakulima Afrika Kusini: Trump! Tuache tupumue!
Aug 26, 2018 22:50Wakulima nchini Afrika Kusini wamekasirishwa na matamshi ya kichochezi ya rais wa Marekani, Donald Trump na kumtaka asijiingize katika mambo yasiyomuhusu.
-
Uhusiano wa Marekani na Afrika Kusini matatani, misimamo ya kibaguzi ya Trump yazusha mtafaruku
Aug 25, 2018 06:44Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akidhihirisha misimamo yake ya kibaguzi tangu wakati wa kampeni za uchaguzi wa rais na hata baada ya kuingia Ikulu ya White House.