-
Pua ya nguruwe na damu vyatapakazwa mbele ya msikiti Afrika Kusini
Jan 09, 2017 03:47Baraza la Sharia la Waislamu wa Afrika Kusini (MJC) limelaani kitendo cha chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu kilichofanywa kwenye msikiti wa mji wa Simon katika jimbo la Cape Town cha kuweka pua ya nguruwe na kumwaga damu kwenye mlango wa msikiti huo.
-
Watatu wauawa, 26 wajeruhiwa katika mapigano ndani ya jela nchini Afrika Kusini
Dec 27, 2016 04:25Watu watatu wameuawa na wengine 26 wamejeruhiwa katika mapigano yaliyotokea kati ya wafungwa na walinzi wa jela ya St. Albans katika bandari ya Elizabeth mkoani Cape ya Mashariki nchini Afrika Kusini.
-
Iran na Afrika Kusini zasaini hati ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi
Dec 14, 2016 04:27Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zimetia saini hati ya maelewano ya ushirikiano wa kiulinzi na kijeshi.
-
Iran yazawadia shule za Afrika Kusini vitabu vya masomo ya Kiislamu
Nov 26, 2016 13:09Mwambata wa Utamaduni wa Iran nchini Afrika Kusini amezizawadia shule za nchi hiyo vitabu kuhusu mafundisho ya Kiislamu.
-
Meli za jeshi la Iran zatia nanga katika bandari ya Durban
Nov 26, 2016 04:31Meli za kikosi cha upelelezi cha operesheni ya mabaharia 44 wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, zimewasili katika bandari ya Durban, Afrika Kusini.
-
Rais wa Afrika Kusini anusurika kwa mara ya tatu na kura ya kutokuwa na imani naye
Nov 11, 2016 00:51Bunge la Afrika Kusini limeukataa mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Malema ataka sheria ya ardhi ya kipindi cha Apartheid ifutwe
Nov 08, 2016 00:53Kiongozi wa chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) ambaye anataka kutaifishwa mabenki, migodi na ardhi nchini Afrika Kusini amesema kuwa, atashinikiza Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo itupilie mbali sheria ya ardhi ya kipindi cha utawala wa ubaguzi wa rangi (apartheid) inayotumiwa dhidi yake mahakamani kutokana na kutoa wito wa kutwaliwa mashamba makubwa ya kilimo yanayomilikiwa na wazungu waliowachache.
-
Ripoti mpya ya ufisadi wa kifedha dhidi ya Rais Jacob Zuma yamuweka pabaya
Nov 03, 2016 04:46Taasisi ya kupambana na ufisadi wa kifedha nchini Afrika Kusini imetoa ripoti yake mpya kuhusiana na tuhuma za ufisadi zinazomkabili Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo.
-
Gordhan akataa kuzungumzia uungaji mkono wa ANC kwake
Oct 27, 2016 10:13Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Pravin Gordhan leo amekataa kueleza iwapo ana imani na uungaji mkono wa kisiasa wa chama tawala cha ANC kwake, ikiwa imesalia chini ya wiki moja kabla ya kutakiwa kujibu mahakamani tuhuma zinazomkabili.
-
Afrika Kusini kujiondoa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC
Oct 21, 2016 10:12Afrika Kusini imetangaza rasmi azma yake ya kujiondoa kwenye Mkataba wa Roma uliobuni Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.