Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika Kusini

  • Machar: Nataka kukutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini

    Machar: Nataka kukutana na Rais Zuma wa Afrika Kusini

    Oct 17, 2016 00:59

    Makamu wa rais wa zamani na kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amesema anataka kuonana ana kwa ana na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ili amueleze 'mambo nyeti' juu ya mgogoro wa kisiasa na mapigano yanayoendelea katika nchi yake.

  • Maandamano ya wanachuo Afrika Kusini yashika kasi; polisi yaendelea kukabiliana nayo

    Maandamano ya wanachuo Afrika Kusini yashika kasi; polisi yaendelea kukabiliana nayo

    Oct 10, 2016 10:49

    Maandamano ya wanachuo nchini Afrika Kusini yanaripotiwa kuongezeka baada ya baadhi ya vyuo kufunguliwa.

  • Iran na Afrika Kusini zaendeleza mashauriano ili kuimarisha uhusiano

    Iran na Afrika Kusini zaendeleza mashauriano ili kuimarisha uhusiano

    Sep 28, 2016 03:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini zinaendeleza mashauriano kati yao ili kufuatilia kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyanja mbalimbali, khususan kisiasa na kiuchumi.

  • Rais Jacob Zuma: Afrika Kusini imeazimia kufikia ustawi wa kudumu

    Rais Jacob Zuma: Afrika Kusini imeazimia kufikia ustawi wa kudumu

    Sep 21, 2016 10:42

    Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema kuwa, nchi yake imeazimia kufikia malengo ya ustawi wa kudumu.

  • Waislamu Afrika Kusini wavunjiwa heshima

    Waislamu Afrika Kusini wavunjiwa heshima

    Sep 16, 2016 09:56

    Wananchi wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.

  • Operesheni ya kuwaokoa wachimba mgodi Afrika Kusini yaendelea

    Operesheni ya kuwaokoa wachimba mgodi Afrika Kusini yaendelea

    Sep 12, 2016 11:42

    Kikosi cha uokozi nchini Afrika Kusini, kimeendelea na shughuli za kuwaokoa wachimba madini waliokwama katika mgodi wa Langlaagte kwa siku kadhaa sasa.

  • Maandamano dhidi ya Zuma mbele ya makao makuu ya ANC

    Maandamano dhidi ya Zuma mbele ya makao makuu ya ANC

    Sep 05, 2016 09:42

    Wanachama wa chama tawala nchini Afrika Kusini (ANC) leo Jumatatu wamepiga nara na shaari nje ya makao makuu ya chama hicho wakimtaka Rais Jacob Zuma ajiuzulu.

  • Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi

    Afrika Kusini yasisitiza mapambano dhidi ya ugaidi

    Aug 23, 2016 03:13

    Rais wa Afrika Kusini amesisitiza kuunga mkono juhudi za mapambano dhidi ya ugaidi.

  •    Kupungua ushawishi wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini

    Kupungua ushawishi wa chama tawala cha ANC nchini Afrika Kusini

    Aug 13, 2016 03:18

    Matokeo ya kura za uchaguzi wa mabaraza ya miji nchini Afrika Kusini zilizohesabiwa hadi sasa yanaonesha kupungua ushawishi wa chama tawala cha ANC nchini humo.

  • Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Afrika Kusini waitisha mgomo

    Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Afrika Kusini waitisha mgomo

    Aug 12, 2016 00:19

    Wafanyakazi wa Shirika la Umeme nchini Afrika Kusini wametoa wito wa kuendeleza mgomo wa wafanyakazi wote wa shirika hilo kwa lengo la kushinikiza kuongezewa mshahara wao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS