Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

afya

  • UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika

    UN yashtushwa na ongezeko la utapiamlo miongoni mwa wajawazito Afrika

    Mar 08, 2023 09:47

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu ongezeko la kutisha la kesi za utapiamlo mkali miongoni mwa wanawake wajawazito hususan katika nchi za Afrika.

  • AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    AHAIC: Hakuna usalama wa afya duniani bila kujumuishwa Afrika

    Mar 07, 2023 07:26

    Viongozi wa sekta za afya Afrika wamesema dunia haitafanikiwa kuwa na usalama wa afya, iwapo nchi za bara hilo zitaendelea kutengwa.

  • Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi

    Uganda yatangaza kumalizika kwa mlipuko wa Ebola ulioua makumi

    Jan 11, 2023 11:15

    Uganda imetangaza habari ya kudhibitiwa na kutokomezwa mlipuko wa Ebola ambao umeua makumi ya watu nchini humo tangu Septemba mwaka uliomalizika 2022.

  • Kipindupindu chaua watu 51 kusini mwa Nigeria

    Kipindupindu chaua watu 51 kusini mwa Nigeria

    Dec 20, 2022 07:29

    Idadi ya watu waliopoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 51.

  • WHO: Corona ilisababisha vifo 63,000 zaidi vya malaria 2021

    WHO: Corona ilisababisha vifo 63,000 zaidi vya malaria 2021

    Dec 10, 2022 02:23

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2021.

  • UN yaonya baada ya mripuko wa kipindupindu kuua watu 20 Ethiopia

    UN yaonya baada ya mripuko wa kipindupindu kuua watu 20 Ethiopia

    Nov 26, 2022 02:34

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) imetoa indhari baada ya makumi ya watu kuaga dunia huku mamia ya wengine wakiathiriwa kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu kusini mashariki mwa Ethiopia.

  • Homa ya Dengue yaua makumi ya watu nchini Sudan

    Homa ya Dengue yaua makumi ya watu nchini Sudan

    Nov 24, 2022 10:24

    Mamlaka za afya nchini Sudan zimetangaza habari ya kuaga dunia makumi ya watu kutokana na mripuko wa homa ya Dengi (Dengue) nchini humo.

  • Mripuko wa kipindupindu waua mamia ya watu nchini Malawi

    Mripuko wa kipindupindu waua mamia ya watu nchini Malawi

    Nov 10, 2022 10:59

    Wizara ya Afya ya Malawi imetangaza habari ya kuaga dunia mamia ya watu kutokana na mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini humo.

  • Kesi 6,883 za Ndui ya Nyani ziripotiwa katika nchi 13 za Afrika

    Kesi 6,883 za Ndui ya Nyani ziripotiwa katika nchi 13 za Afrika

    Oct 29, 2022 04:20

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika (Africa CDC) kimesema kesi 6,883 za ugonjwa wa Ndui ya Nyani (Monkeypox) zimeripotiwa katika nchi 13 za bara Afrika tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2022 hadi sasa.

  • Mripuko wa surua umeua watoto 700 nchini Zimbabwe

    Mripuko wa surua umeua watoto 700 nchini Zimbabwe

    Sep 07, 2022 02:23

    Mripuko wa surua umeua takriban watoto 700 nchini Zimbabwe tokea mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS