-
Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran
Mar 30, 2022 06:46Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani ni tishio kubwa kwa haki ya kupata huduma za afya, matibabu na dawa wananchi wa Iran.
-
Malawi yaripoti mripuko wa polio, kesi ya kwanza Afrika baada ya miaka 5
Feb 19, 2022 02:55Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya kuibuka mripuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) nchini Malawi, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya virusi vya polio ya msitu kuripotiwa barani Afrika baada ya kupita zaidi ya miaka mitano.
-
Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3
Feb 18, 2022 03:08Watu wasiopungua 59 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa homa ya Lassa katika sehemu mbalimbali za Nigeria tokea Januari 3 mwaka huu hadi sasa.
-
Mripuko wa ugonjwa wa surua waua watoto 74 Afghanistan
Feb 07, 2022 02:52Mripuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watoto kaskazini mwa Afghanistan.
-
Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria
Jan 15, 2022 00:48Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu uliua maelfu ya watu nchini Nigeria katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.
-
Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya
Dec 17, 2021 03:04Zimbabwe imeathiriwa na wimbi kubwa la wafanyakazi wake wa sekta ya afya kuhajiri na kwenda nchi za nje kutafuta kazi wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa pakubwa na maambukizi ya VOVID-19. Hadi sasa zaidi ya wafanyakazi wa sekta ya afya 2,200 wameondoka Zimbabwe na kuelekea Marekani, Uingereza, Australia na katika mataifa jirani kwa ajili ya kusaka ajira.
-
WHO: Corona imechangia kuongezeka vifo vya malaria duniani
Dec 08, 2021 02:34Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2020.
-
Mripuko wa homa ya manjano waua watu 25 nchini Ghana
Nov 18, 2021 02:56Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 25 nchini Ghana.
-
Mamilioni ya Watanzania wanasumbuliwa na matatizo ya akili
Oct 10, 2021 07:56Tanzania inakadiriwa kuwa na watu milioni saba wenye matatizo yanayohusiana na afya ya akili. Hayo yamebainika wakati huu ambapo nchi hiyo ya Afrika Mashariki imejiunga na nchi zingine duniani hii leo kuadhimisha Siku ya Afya ya Akili.
-
UN: Nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa
Aug 30, 2021 07:10Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, karibu nusu ya wananchi wa Yemen hawana hata maji safi ya kunywa kutokana na vita walivyobebeshwa wananchi hao.