-
Kujiuzulu Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria na mustakabali wa nchi hiyo
Apr 03, 2019 10:28Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amejiuzulu wadhifa wake baada ya miaka 20 kufuatia wiki kadhaa za maandamano na mashinikizo dhidi yake. Bouteflika alitangaza uamuzi huo jana Jumanne na kusema amelijulisha Baraza la Katiba kuhusu hatua yake ya kujiondoa madarakani.
-
Furaha, nderemo na vifijo vyatanda nchini Algeria baada ya Bouteflika kujiuzulu
Apr 03, 2019 03:26Miji mbalimbali ya Algeria imeendelea kushuhudia furaha, nderemo na vifijo baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika kutangaza kujiuzulu.
-
Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ajiuzulu
Apr 02, 2019 22:57Hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria amejiuzulu wadhifa wake baada ya miaka 20 kufuatia wiki kadhaa za maandamano na mashinikizo dhidi yake.
-
Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Algeria
Apr 01, 2019 08:45Mgogoro wa kisiasa nchini Algeria ambao katika siku za hivi karibuni umeshadidi mno, sasa unaonekana kuchukua mkondo na wigo mpana zaidi.
-
Maandamano yapamba moto Algeria baada ya Bouteflika kung'ang'ania madaraka na kuunda serikali mpya
Apr 01, 2019 02:35Maandamano makubwa ya wananchi wa Algeria yanaendelea baada ya rais mgonjwa wa nchi hiyo, Abdulaziz Bouteflika kukataa uamuzi wa kung'oka madarakani na kuamua kuunda serikali mpya.
-
Maandamano makubwa yafanyika Algeria, Bouteflika akataa kung'atuka madarakani
Mar 29, 2019 11:28Maandamano makubwa yamefanyika leo nchini Algeria huku wananchi wakiendelea kudai mabadiliko ya utawala wakati rais Abdelaziz Bouteflika amekataa kung'atuka madarakani hata baada ya kutengwa na jeshi.
-
Maandamano ya wananchi yamng'oa Bouteflika madarakani Algeria, kaimu wake atangazwa
Mar 26, 2019 22:49Televisheni ya al Nahar ya Algeria imetangaza kuwa, Spika wa Bunge la nchi hiyo, Abdelkader Bensalah ameteuliwa kukaimu nafasi ya Rais Abdulaziz Bouteflika kwa muda wa siku 45. Bouteflika ameeng'olewa madarakani kwa nguvu nchini humo baada ya kushadidi maandamano ya wananchi ya kumtaka ajiuzulu.
-
Ndege ya kijeshi ya Marekani yapeleka magaidi 29 wa Daesh (ISIS) nchini Algeria
Mar 25, 2019 22:37Duru za usalama za Algeria zimetangaza kuwa, magaidi 29 wa Daesh wapelekwa nchini humo kwa ndege ya kijeshi ya Marekani.
-
Makumi ya maelfu waandamana Algiers, mji mkuu wa Algeria
Mar 22, 2019 20:01Makumi ya maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Algeria, Algiers, kushinikiza kung'oka madarakani Rais Abdelaziz Bouteflika ambaye anatembelea kigari cha wagonjwa.
-
Russia yapinga madola ya nje kuingilia masuala ya ndani ya Algeria
Mar 19, 2019 23:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Seregei Lavrov amesisitiza kuwa nchi yake inapinga uingiliaji wa madola ya nje katika masuala na hali inayoendelea hivi sasa nchini Algeria.