-
Jeshi la Algeria lasisitiza kuyapatia ufumbuzi matatizo na kuwaunga mkono wananchi
Mar 19, 2019 03:35Mkuu wa vikosi vya jeshi la Algeria amesisitiza kuwa vikosi vya nchi hiyo vitaendelea kuwa pamoja na wananchi.
-
Waziri Mkuu wa Algeria aanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya
Mar 17, 2019 21:56Waziri Mkuu wa Algeria ameanza mazungumzo ya kuunda serikali mpya kama hatua iliyochukuliwa ili kuwaridhisha wananchi wanaofanya maandamanao wakiomtaka Rais wa nchi hiyo, Abdelaziz Bouteflika na serikali yake wang'atuke madarakani.
-
Umoja wa Afrika wasisitiza ulazima wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa Algeria
Mar 17, 2019 13:33Umoja wa Afrika (AU) umesisitiza kwamba kuna ulazima wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini Algeria.
-
Maafisa wa chama tawala Algeria wajitenga na Rais Bouteflika
Mar 16, 2019 01:12Maafisa waandamizi wa chama tawala nchini Algeria cha FNL wamemtaka Rais Abdelaziz Bouteflika wa nchi hiyo kuchukua hatua ya 'kihistoria', hatua nyingine ambayo inaashiria kuwa chama hicho kimeendelea kujiweka mbali na Bouteflika.
-
Algeria; kuendelea mgogoro au kufanya harakati katika njia ya demokrasia?
Mar 12, 2019 22:55Baada ya wiki kadhaa za malalamiko, maandamanao na kushadidi hali hiyo katika siku za hivi karibuni baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria kutangaza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tano mtawalia, hatimaye kiongozi huyo amefutilia mbali uamuzi wake huo.
-
Bouteflika alazimika kutengua azma yake ya kuwania urais Algeria
Mar 11, 2019 23:51Baada ya mashinikizo na maandamano ya karibu mwezi mmoja, hatimaye Rais Abdelaziz Bouteflka wa Algeria amefutilia mbali azma yake ya kugombea tena urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Mahakimu zaidi ya 1,000 wa Algeria: Hatutasimamia uchaguzi wa rais endapo Rais Bouteflika atagombea
Mar 11, 2019 13:19Mahakimu zaidi ya elfu moja nchini Algeria wamejiunga na wimbi la upinzani la kupinga rais wa nchi hiyo Abdelaziz Bouteflka kugombea tena katika uchaguzi wa urais unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao na kusisitiza kuwa hawatasimamia uchaguzi huo endapo kiongozi huyo atakuwa mmoja wa wagombea.
-
Maulamaa nchini Algeria waonya juu ya uingiliaji wa kigeni katika mzozo wa sasa nchini humo
Mar 11, 2019 04:42Jumuiya ya Maulamaa wa Kiislamu nchini Algeria imetahadharisha kuhusu aina yoyote ya uingiliaji wa kigeni katika matukio ya ndani ya nchi hiyo.
-
Rais Bouteflika kurejea nchini Algeria leo, maandamano yachachamaa
Mar 10, 2019 10:51Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria anatazamiwa kurejea katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika leo Jumapili, baada ya kuwa nje ya nchi kwa muda wa wiki mbili kwa ajili ya matibabu.
-
Algeria yafunga vyuo vikuu, wanafunzi walaumiwa kuchochea maandamano
Mar 10, 2019 03:48Serikali ya Algeria Jumamosi imeamuru vyuo vikuu vyote nchini humo vifungwe mapema kabla ya kuanza likizo ya msimu wa machipuo ili kujaribu kuzima kasi ya maandamano yanayoongozwa na wanachuo dhidi ya Rais Abdelaziz Bouteflika.