Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

algeria

  • Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Algeria yalaani jinai za wanajeshi wa Israel katika Ukanda wa Ghaza

    Aug 11, 2018 22:39

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria amelaani vikali jinai za wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Algeria yasitisha kuwafukuzia katika jangwa la Sahara wakimbizi

    Algeria yasitisha kuwafukuzia katika jangwa la Sahara wakimbizi

    Jul 15, 2018 09:23

    Algeria karibuni imesimamisha kuwafukuza wakimbizi kuelekea katika jangwa la Sahara baada ya hatua hiyo kupingwa vikali na maafisa kadhaa wa usalama wa ngazi ya juu.

  • Jeshi la Algeria laanza oparesheni kubwa karibu na mpaka wa Tunisia

    Jeshi la Algeria laanza oparesheni kubwa karibu na mpaka wa Tunisia

    Jul 12, 2018 03:01

    Jeshi la Algeria limeanzisha oparesheni kubwa katika maeneo ya mpaka wa pamoja na nchi jirani ya Tunisia kufuatia kutekelezwa shambulio la kigaidi Jumapili iliyopita katika mkoa mmoja ulioko mpakani wa Jendouba. Wanajeshi sita waliuawa na watatu kujeruhiwa katika shambulio hilo la kigaidi.

  • Algeria yapinga mpango wa Ulaya kuhusu wahajiri haramu

    Algeria yapinga mpango wa Ulaya kuhusu wahajiri haramu

    Jul 01, 2018 09:15

    Waziri Mkuu wa Algeria ametangaza kuwa, nchi yake inapinga mpango wa Umoja wa Ulaya wa kuanzisha kambi za wahajiri haramu nchini humo.

  • UN yapongeza nafasi ya Algeria katika mapambano dhidi ya ugaidi

    UN yapongeza nafasi ya Algeria katika mapambano dhidi ya ugaidi

    Jun 26, 2018 22:19

    Umoja wa Mataifa umeipongeza Algeria kwa nafasi yake katika mapambano dhidi ya ugaidi katika nchi za eneo la Sahel na magharibi mwa Afrika.

  • Taasisi za kidini Algeria zapongeza fatuwa ya Ayatullah Khamenei kuhusu masahaba wa Mtume (saw)

    Taasisi za kidini Algeria zapongeza fatuwa ya Ayatullah Khamenei kuhusu masahaba wa Mtume (saw)

    Jun 26, 2018 21:43

    Baraza Kuu la Kiislamu la Algeria limepongeza fatuwa iliyotolewa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Ali Khamenei inayoharamisha kuwavunjia heshima masahaba wa Mtume (saw) na ulazima wa kulinda heshima ya wake wa mtukufu huyo.

  • Algeria yalaani jinai za Israel huko Palestina na uungaji mkono wa Marekani

    Algeria yalaani jinai za Israel huko Palestina na uungaji mkono wa Marekani

    Jun 21, 2018 23:33

    Waziri Mkuu wa Algeria amesema Algiers inapinga vikali jinai na mauaji yanayoendelea kufanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel huko Palestina licha ya uungaji mkono wa Marekani kwa utawala huo.

  • Tahadhari kuhusu njama zinazofanyika dhidi ya Uislamu na Iran

    Tahadhari kuhusu njama zinazofanyika dhidi ya Uislamu na Iran

    Jun 13, 2018 21:55

    Mwanafikra na kiongozi wa ngazi za juu wa kidini nchini Algeria ametahadharisha kuhusu njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Akthari ya Walgeria wanataka nchi yao ijitoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Akthari ya Walgeria wanataka nchi yao ijitoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu

    Jun 03, 2018 23:43

    Matokeo ya uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa nchini Algeria yanaonyesha kuwa akthari ya raia wa nchi hiyo wanataka nchi yao ijiondoe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Morocco yaelekeza tuhuma zake kwa Algeria kwamba inaiunga mkono Polisario

    Morocco yaelekeza tuhuma zake kwa Algeria kwamba inaiunga mkono Polisario

    May 22, 2018 09:23

    Kwa mara nyingine serikali ya Morocco kupitia Wizara ya Mambo ya Nje ya nchi hiyo imeinyooshea kidole cha lawama serikali ya Algeria kwamba inaiunga mkono harakati ya Polisario, hasa katika kuendesha maneva ya kijeshi na wapiganaji wa harakati hiyo katika eneo Sahara Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS