-
Iran na Algeria zasisitiza kutatuliwa kwa amani hitilafu za kieneo
Jun 18, 2017 09:47Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Algeria wamesisitiza juu ya udharura wa kutatuliwa kwa njia za amani hitilafu na mivutano ya kieneo.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran barani Afrika
Jun 17, 2017 23:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo (Jumapili) anaanza ziara ya kuzitembelea nchi za Algeria, Mauritania na Tunisia.
-
Algeria kuimarisha ushirikiano na Iran katika vita dhidi ya ugaidi
Jun 12, 2017 03:22Algeria imelaani vikali mashambulizi pacha ya kigaidi yaliyotokea hivi karibuni hapa mjini Tehran na kusema kuwa, itaendelea kushirikiana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika vita vya kuyatokomeza magenge ya kigaidi.
-
Iran yaendelea kufanya mashauriano kuhusu matukio yaliyojiri katika eneo
Jun 05, 2017 23:43Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Muhammad Javad Zarif, amefanya mazungumzo kwa njia ya simu na mawaziri wa mambo ya nje wa Kuwait, Qatar, Lebanon, Algeria na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusiana na matukio yanayoendelea kujiri katika eneo.
-
Baada ya taabu nyingi hatimaye Algeria yakubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia nchini humo
Jun 02, 2017 03:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imekubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia ardhi ya nchi hiyo, ikiwa ni baada ya wakimbizi hao kuteseka kwa muda mrefu katika mpaka wa taifa hilo na Morocco.
-
Mamia ya raia wa Algeria wajiunga na magenge ya kigaidi nchini Yemen
May 31, 2017 22:50Mtandao mmoja wa habari wa Algeria umetangaza kuwa, mamia ya vijana wa Algeria wamejiunga na magenge ya kigaidi yanayofanya mauaji nchini Yemen.
-
Algeria yaitaka Misri isimamishe mashambulio ya anga ndani ya ardhi ya Libya
May 30, 2017 11:01Algeria imeitaka Misri isimamishe mashambulio ya anga inayofanya katika eneo la kaskazini mashariki mwa Libya ikisisitiza kuwa hatua hiyo haitotatua mgogoro wa kiusalama unaoikabili Misri.
-
Mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za Algeria kufanyiwa marekebisho
May 22, 2017 22:48Katibu Mkuu wa Wizara ya Masuala ya Dini na Waqfu katika mkoa wa Ghardaia nchini Algeria ametangaza kuwa mfumo wa usomeshaji Qur'ani katika skuli za nchi hiyo utafanyiwa marekebisho kwa ushirikiano na wadau wa masuala ya kidini nchini humo.
-
Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa
May 22, 2017 03:05Spika wa Bunge la Algeria ametangaza kuwa, kutumiwa nguvu za kijeshi katika nchi za Syria, Yemen na Libya kumesababisha kutokea maafa ya kibinadamu katika nchi hizo.
-
Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) chafanyika Algeria
May 14, 2017 22:02Kikao cha kwanza cha Baraza Kuu la Taasisi ya Ushirikiano wa Polisi Afrika (AFRIPOL) kimefanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers kwa kuhudhuriwa na makamanda wa Polisi wa nchi za Kiafrika na maafisa mbalimbali wa jumuiya za kieneo na kimataifa.