-
Kukabiliana mataifa ya Amerika Kusini na vita vya ushuru vya Trump
May 05, 2025 13:24Wanachama wa Soko la Pamoja la Amerika Kusini (Mercado Común del Sur) wameongeza idadi ya bidhaa zisizo na ushuru kwa bidhaa zinazoangizwa kutoka nje ya jumuiya ya kikanda, katika hatua muhimu dhidi ya vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Malengo ya kisiasa na kiuchumi inayofuatilia Iran katika eneo la Amerika ya Latini
Feb 14, 2025 02:32Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Colombia wamefanya mazungumzo kwa njia ya simu wakitilia mkazo kupanuliwa na kustawishwa uhusiano baina ya pande mbili.
-
Kukatwa kikamilifu uhusiano wa Colombia na utawala wa Kizayuni; kuendelea kutengwa Tel Aviv kimataifa
May 03, 2024 02:43Rais Gustavo Petro wa Colombia alisema siku ya Jumatano tarehe Mosi Mei katika hotuba yake kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) kuwa kuanzia Alhamisi amekata kikamilifu uhusiano wa nchi hiyo na utawala wa Kizayuni kwa sababu ya jinai na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala huo huko Ukanda wa Gaza.
-
Rais Raisi: Muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamakisha mabeberu
Jun 15, 2023 06:35Rais wa Jamhuri ya Kiialamu ya Iran amesema kuwa, muqawama, kupigania uadilifu na uhuru mataifa ya dunia kumewahamikisha maadui na kuwalazimisha kurudi nyuma.
-
Mexico yaupandishia hadhi ubalozi wa Palestina nchini humo
Jun 04, 2023 11:25Mexico imechukua hatua ya kuimarisha uhusiano wake wa kidiplomasia na Palestina, na sasa ofisi ya mahusiano ya Palestina katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini imepandishwa ngazi na kuwa ubalozi kamili.
-
Nchi za Amerika ya Latini zalaani ujenzi wa vitongoji haramu
Feb 18, 2023 09:53Kundi la nchi za Amerika ya Latini limelaani na kukosoa vikali uamuzi wa serikali ya Israel yenye misimamo ya kufurutu ada ya Benjamin Netanyahu wa kuidhinisha ujenzi wa vitongoji vipya tisa katika ardhi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Rais wa Argentina: Nchi za Amerika ya Latini hazitaipatia silaha Ukraine
Jan 29, 2023 07:43Rais wa Argentina amesema kuwa nchi za Amerika ya Latini, kinyume na nchi za Magharibi, hazina mpango wa kuipatia Ukraine silaha kwa kisingizio cha vita vinavyoendelea nchini humo.
-
Indhari ya Evo Morales kuhusu nia ya Marekani ya kufanya mapinduzi Amerika ya Latini
Jan 16, 2023 02:26Evo Morales, Rais wa zamani wa Bolivia amesema kuwa, Marekani ipo katika mkondo wa kuporonmoka hasa kwa kuzingaia matukio ya hivi karibuni katika baadhi ya mataifa ya Amerika ya Latini na ni kutokana na sababu hiyo ndio maana Washington imeamua kutumia mabavu na kwamba, hivi sasa inatekeleza njama za mapinduzi katika maeneo ya Ukanda huo.
-
Rais wa Nicaragua: Kanisa Katoliki ni mfano hai wa udikteta
Sep 30, 2022 01:04Rais wa Nicaragua, Daniel Ortega amelishambulia vikali Kanisa Katoliki na kuitaja taasisi hiyo kuwa mfano hai wa udikteta halisi duniani.
-
Kuendelea mvutano baina ya Marekani na mataifa ya mrengo wa kushoto ya Amerika ya Latini
Apr 26, 2022 13:26Marekani ingali inaendeleza siasa zake za chuki na hasama dhidi ya mataifa ya mrengo wa kushoto ya Amerika ya Latini.