-
Mamia ya nafasi za ajira zapotea kwa corona Amerika ya Latini
Oct 03, 2020 02:42Shirika la Kimataifa la Kazi (ILO) limetangaza habari ya kupotea zaidi ya fursa milioni 34 za kazi kutokana na wimbi la maambukizi ya kirusi cha corona katika eneo la Amerika ya Latini.
-
Wabunge Amerika ya Latini wataka kususiwa utawala wa Kizayuni
Sep 08, 2020 02:36Wabunge wa baadhi ya nchi za Amerika ya Latini wametaka kutungwe sheria za kuususia na kuuwekea vikwazo utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na mpango wa utawala huo ghasibu wa kutaka kuteka ardhi zaidi za Wapalestina za Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Nchi za Amerika ya Latini zashinikiza vikwazo dhidi ya Israel
Jul 04, 2020 07:44Marais wa zamani na shakhsia wengine mashuhuri wa kisiasa wa nchi za Amerika ya Latini wamekosoa vikali mpango wa utawala haramu wa Israel wa kupora eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na kuliunganisha na ardhi nyingine ya Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Vikwazo vipya vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Venezuela na jibu kali la Rais Maduro
Jul 01, 2020 10:23Tangu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela uliposhadidi, Umoja wa Ulaya umekuwa pamoja na Marekani dhidi ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 19, 2020 02:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Venezuela yaionya Marekani iache kuendeleza uhasama wake dhidi ya eneo la Amerika ya Latini
Jan 18, 2020 16:29Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imeitahadharisha Marekani kutokana na tabia zake za kuendeleza mzingiro dhidi ya eneo la Amerika ya Latini na ukanda wa Karibiani.
-
Makasisi wa Kanisa Katoliki wahukumiwa kifungo jela kwa kuwanyanyasa kingono wanafunzi viziwi, Argentina
Nov 26, 2019 12:31Mahakama nchini Argentina imewahukumu makasisi wawili wa Kanisa Katoliki kifungo cha zaidi ya miaka 40 jela kila mmoja wao baada ya kupatikana na hatia ya kuwanyanyasa kingono wanafunzi 10 wa zamani wa shule ya viziwi ya kanisa hilo.
-
Mapinduzi ya kisiasa ya Marekani dhidi ya Rais Maduro wa Venezuela
Jan 25, 2019 13:40Tangu kuingia madarakani nchini Venezuela serikali ya mrengo wa kushoto hapo mwaka 1999 hadi sasa, Marekani daima imekuwa ikifanya juhudi za kudhoofisha na kuingo'a mamlakani serikali hiyo.
-
Malengo ya safari ya Tillerson katika nchi za Amerika ya Latini
Feb 04, 2018 08:00Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani amedai akiwa Mexico katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi za Amerika ya Latini kuwa Russia ina mpango wa kuingilia masuala ya uchaguzi ya nchi hiyo.
-
Zarif: Fidel Castro alisimama imara kukabiliana na ubeberu
Nov 28, 2016 15:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Javad Zarif amesema kuwa, hayati Fidel Castro kiongozi wa zamani wa Cuba aliyefariki dunia alikuwa akisisitiza kuimarishwa ushirikiano na mataifa mengine.