-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran azikwa mjini Rey, mkoani Tehran
May 23, 2024 12:32Mwili wa Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran aliyekufa shahidi katika ajali ya helikopta iliyotokea Jumapili iliyopita kaskazini magharibi mwa nchi umezikwa leo katika Haram ya Shah Abdol-Azim katika mji wa Shahre-Rey, kusini mwa Tehran.
-
Safari ya Abdollahian Gambia kushiriki mkutano wa OIC wa kujadili changamoto za Waislamu hasa Palestina
May 05, 2024 06:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yupo Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Abdollahian: Utawala wa Kizayuni wa Israel kamwe hauwezi kuwa halali kwa kupita zama
May 05, 2024 04:17Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Utawala wa Israel si serikali halali na utawala huo wa kibaguzi unaoukalia kwa mabavu Palestina kamwe hauwezi kuwa halali kwa kupita zama.
-
Abdollahian aelekea Gambia kushiriki mkutano wa OIC, unajadili changamoto za Waislamu hususan Palestina
May 04, 2024 06:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameondoka Tehran kuelekea Banjul, mji mkuu wa Gambia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa 15 wa Wakuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC.
-
Iran na Sierra Leone kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Mar 07, 2024 02:32Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Sierra Leone wametilia mkazo wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa kiuchumi na kisiasa baina ya nchi zao.
-
Uchaguzi nchini Iran unafanyika leo Ijumaa
Mar 01, 2024 03:47Uchaguzi wa duru ya 12 ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge) na Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu unafanyika leo Ijumaa kote nchini ambapo wagombea watawania viti 290 vya Bunge na 88 vya Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Mkuu wa nchi.
-
Ukosoaji wa Iran kwa Baraza la Usalama la UN kwa kutochukua hatua kuhusiana na mauaji ya kimbari ya Wapalestina wa Ghazza
Feb 29, 2024 07:14Tangu ilipoanza duru mpya ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina yanayofanywa na wanajeshi wa utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghazza, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ikitumia kila fursa inayopata kulaani jinai za utawala huo ghasibu na kutaka mashambulizi ya kinyama yanayofanywa dhidi ya Wapalestina yakomeshwe.
-
Abdollahian akosoa vikali mashambulio ya Marekani dhidi ya Syria na Iraq
Feb 04, 2024 07:27Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hujuma na mashambulio ya hivi karibuni ya Marekani katika mataifa ya Syria na Iraq chimbuko lake ni utendaji wa kimakosa na usio sahihi wa Washington katika kutatua matatizo ya Asia Magharibi kwa ktumia mtutu wa bunduki.
-
Amir-Abdollahian: Harakati za washauri wa kijeshi wa Iran za kupambana na ugaidi zitaendelea kwa nguvu kamili
Jan 21, 2024 11:26Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametoa mjibizo kufuatia kuuawa shahidi washauri watano wa Iran nchini Syria katika shambulio la kigaidi la utawala wa Kizayuni na kueleza kwamba: "kushindwa Wazayuni kukabiliana na irada na matakwa ya watu wa Gaza hakutaweza kufidiwa kwa vitendo hivi vya kigaidi."
-
Iran: Marekani na Israel ndizo sababu kuu za ukosefu wa usalama Magharibi mwa Asia
Jan 17, 2024 14:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, Marekani na Israel ndizo chanzo kikuu cha ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia.