Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

askari wa Israel

  • Askari wa Israel aliyeua Mpalestina afungwa miezi 18

    Askari wa Israel aliyeua Mpalestina afungwa miezi 18

    Feb 21, 2017 14:27

    Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel aliyemuua kwa kumfyatuliwa risasi raia wa Palestina, amehukumiwa kifungo cha miezi 18 pekee jela.

  • Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7

    Hujuma ya anga ya Israel huko Gaza yaua, kujeruhi Wapalestina 7

    Feb 09, 2017 07:13

    Kwa akali Wapalestina wawili wameuawa shahidi huku wengine zaidi ya watano wakijeruhiwa baada ya ndege ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutekeleza hujuma ya anga katika mji wa Rafah, Ukanda wa Gaza, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Jinai za kila upande za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Jinai za kila upande za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina

    Oct 22, 2016 07:16

    Jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina haziishii katika medani ya vita tu au katika uga wa masuala ya kijamii, bali jinai hizo zimepanuka na kufika hata katika mfumo wa kimahakama wa utawala huo ghasibu ambapo kutolewa hukumu za kidhulma na zisizo za kiadilifu dhidi ya Wapalestina ni mlolongo mwingine wa jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina.

  • Wazayuni wamuua shahidi kijana Mpalestina Quds Tukufu

    Wazayuni wamuua shahidi kijana Mpalestina Quds Tukufu

    Sep 05, 2016 07:26

    Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia kambi ya wakimbizi wa Kipalestina katika Quds Tukufu (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu na kumuua shahidi kijana Mpalestina.

  • Israel yazidisha ukatili dhidi ya Wapalestina kwa himaya ya Marekani

    Israel yazidisha ukatili dhidi ya Wapalestina kwa himaya ya Marekani

    Jul 04, 2016 07:51

    Ripoti za hivi karibuni zinaonesha kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umezidisha ukandamizaji na ukatili dhidi ya watu wanaoendelea kukandamizwa wa Palestina.

  • Familia: Israel inazuia miili ya Wapalestina wanaowaua

    Familia: Israel inazuia miili ya Wapalestina wanaowaua

    Jun 23, 2016 08:03

    Familia za Wapalestina waliouawa shahidi na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano kuutaka utawala wa Tel Aviv kuwapa miili ya wapendwa wao huku wakitaja sera hiyo ya kuzuia miili kuwa 'jinai na mateso kwa walio hai na waliokufa'.

  • Wazayuni wazidi kuwateka nyara wanawake na wasichana wa Kipalestina

    Wazayuni wazidi kuwateka nyara wanawake na wasichana wa Kipalestina

    Jun 13, 2016 14:52

    Tangu ilipoanza Intifadha ya Quds mwanzoni mwa mwezi Oktoba 2015 hadi hivi sasa, utawala wa Kizayuni wa Israel umeshawateka nyara makumi ya wanawake na washichana wa Kipalestina.

  • Jeshi la Israel lamuua shahidi mwanamke wa Palestina

    Jeshi la Israel lamuua shahidi mwanamke wa Palestina

    Jun 02, 2016 14:51

    Askari wa jeshi katili la utawala haramu wa Israel wamemuua shahidi mwanamke wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hii leo.

  • Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel

    Wapalestina waandamana Ukanda wa Gaza kulaani mzingiro wa Israel

    May 08, 2016 13:07

    Mamia ya wananchi wa Palestina wameingia mabarabarani kufanya maandamano ya kulaani mzingiro wa kibaguzi wa takriban mwongo mmoja uliowekwa na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Federica Mogherini: Umoja wa Ulaya hautambua umiliki wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria

    Federica Mogherini: Umoja wa Ulaya hautambua umiliki wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria

    Apr 20, 2016 14:32

    Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema kuwa, umoja huo hauutambui rasmi umiliki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa miinuko ya Golan ya Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS