Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Austria

  • Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika

    Austria, nchi ya EU yashuhudia ongezeko la wasiojua kusoma, kuandika

    Jun 01, 2025 07:05

    Karibu thuluthi moja ya watu nchini Austria wana uwezo mdogo wa kusoma, jambo linaloashiria ongezeko la kuogofya la watu wasiojua kusoma na kuandika nchini humo, ofisi ya takwimu za serikali ya nchi hiyo ya Umoja wa Ulaya imesema.

  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran lazima vifutwe

    Mar 05, 2025 06:38

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayeshughulikia Masuala ya Kisiasa amesema: Vikwazo vya kikatili vya Marekani na Umoja wa Ulaya ambavyo vimewalenga watu wenye utamaduni na ustaarabu mkongwe wa Iran ni lazima viondolewe.

  • Wanawake wanaovaa Hijabu Austria wakabiliwa na chuki dhidi ya Uislamu

    Wanawake wanaovaa Hijabu Austria wakabiliwa na chuki dhidi ya Uislamu

    Mar 30, 2023 07:40

    Asasi moja isiyo ya kiserikali imeripoti kuwa, wanawake wanaovaa vazi la staha la Hijabu nchini Austria wanakabiliwa na ongezeko la ubaguzi na hujuma za chuki dhidi ya Uislamu ikilinganishwa na wanaume katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Kesi za kushambuliwa Waislamu nchini Austria zaongezeka

    Kesi za kushambuliwa Waislamu nchini Austria zaongezeka

    Aug 14, 2022 07:21

    Jinai za kushambuliwa Waislamu kwa misingi ya dini yao zimeongezeka kwa kiwango cha kutisha nchini Austria.

  • Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia

    Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia

    Mar 28, 2022 02:27

    Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.

  • Maelfu waandamana Ulaya kupinga chanjo ya lazima ya Covid-19

    Maelfu waandamana Ulaya kupinga chanjo ya lazima ya Covid-19

    Jan 16, 2022 07:59

    Maelfu ya wananchi wa Austria wamejitokeza mabarabarani katika maandamano ya kupinga hatua ya serikali ya kuwalazimisha wananchi kupiga chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19.

  • Vienna, Austria yageuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga karantini na chanjo ya lazima ya corona

    Vienna, Austria yageuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga karantini na chanjo ya lazima ya corona

    Nov 20, 2021 13:57

    Mji mkuu wa Austria, Vienna leo umegeuzwa uwanja wa maandamano ya kupinga uwekaji karantini kwa sababu ya ugonjwa wa Covid-19 na upigaji chanjo ya lazima ya ugonjwa huo.

  • Rais Raisi: Miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali

    Rais Raisi: Miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali

    Aug 24, 2021 02:46

    Rais Ebrahim Raisi amesema miaka 500 ya uhusiano wa kirafiki wa nchi mbili za Iran na Austria ni rasilimali yenye thamani kwa mustakabali wa uhusiano huo.

  • Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi

    Waislamu wa Austria kuishtaki serikali kwa kuhatarisha usalama wao, ubaguzi

    May 30, 2021 12:42

    Kundi linaloongoza la Waislamu nchini Austria limesema lina mpango wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya Kansela Sebastian Kurz kwa kuanika "ramani ya Uislamu" iliyozusha utata mkubwa.

  • Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal

    Zarif afuta safari yake Austria akipinga kuwekwa bendera za Israeli kwenye majengo ya serikal

    May 16, 2021 04:32

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amefuta safari yake rasmi nchini Austria akipinga hatua ya nchi hiyo ya kupeperusha bendera za utawala haramu wa Israel juu ya majengo ya serikali katika mji mkuu wa nchi hiyo Vienna, huku Israel ikiendelea kuwaua kinyama raia wa Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS