Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Bahrain

  • Maulama wa Palestina: Kikao cha Bahrain kina lengo la kuifuta Palestina na kusambaratisha matukufu ya Wapalestina

    Maulama wa Palestina: Kikao cha Bahrain kina lengo la kuifuta Palestina na kusambaratisha matukufu ya Wapalestina

    Jun 13, 2019 21:54

    Jumatano yana Jumuiya ya maulama wa Palestina ilifanya kikao kilichopewa jina la 'Maulama wa Palestina katika Kukabiliana na Mpango wa Muamala wa Karne wa Trump' huko Ukanda wa Gaza kwa lengo la kujadili malengo ya mkutano wa kiuchumi wa nchini Bahrain.

  • Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Ufaransa yakosoa mpango wa 'Muamala wa Karne'

    Jun 11, 2019 00:51

    Licha ya juhudi kuibwa zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani kwa ajili ya kufanikisha mpango wa 'Muamala wa Karne' ambao unalenga kudhamini maslahi ya utawala haramu wa Israel kwa madhara ya Wapalestina, lakini washirika wa Ulaya wa Washington ikiwemo Ufaransa, wanaendelea kuukosoa mpango huo.

  • Naibu Katibu Mkuu wa al Wifaq Bahrain: Lengo la mkutano wa Manama ni kuitokomeza Palestina

    Naibu Katibu Mkuu wa al Wifaq Bahrain: Lengo la mkutano wa Manama ni kuitokomeza Palestina

    Jun 03, 2019 21:57

    Naibu Katibu Mkuu wa jumuiya ya al Wifaq ya nchini Bahrain amesema kuwa mkutano wa Manama una lengo la kuitokomeza Palestina na kwamba wananchi wote wa Bahrain wanawapinga Wazayuni na mkutano huo. Amesema Ni utawala wa Aal Khalifa na waitifaki wake pekee ndio wanaounga mkono kufanyika mkutano huo wa Manana kwa amri ya viongozi wa Marekani na Wazayuni.

  • Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni sehemu ya Saudia kuitumikia Israel

    Ansarullah: Mkutano wa Bahrain ni sehemu ya Saudia kuitumikia Israel

    May 31, 2019 23:11

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, mkutano wa Marekani unaotazamiwa kufanyika nchini Bahrain mwishoni mwa mwezi huu wa Juni ni sehemu ya kujidhalilisha na kujipendekeza utawala wa Aal-Saud wa Saudia Arabia kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    Qatar: Amani ya Palestina sharti ijumuishe suluhu inayokubaliwa na Wapalestina

    May 25, 2019 05:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar sambamba na kukosoa mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain, imesema matakwa ya wananchi wa Palestina lazima yajumuishe kwenye mipango yoyote ya amani na maendeleo inayowahusu.

  • Saudia na Imarati kushiriki mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina

    Saudia na Imarati kushiriki mkutano wa Marekani dhidi ya Palestina

    May 22, 2019 21:58

    Tawala vibaraka za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu zimetangaza kuwa zitashiriki mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.

  • Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    Palestina: Mkutano wa US nchini Bahrain ni wa kuboresha uhusiano wa Waarabu na Israel

    May 22, 2019 03:39

    Harakati ya Jihad Islami ya Palestina imekosoa vikali mpango wa kufanyika mkutano wa Marekani wa kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain ikisisitiza kuwa kongamano hilo halina lengo jingine ghairi ya kuandaa mazingira ya kuimarisha na kufanya wa kawaida uhusiano kati ya Waarabu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    Jordan yaombwa isishiriki mkutano wa Marekani nchini Bahrain

    May 21, 2019 23:13

    Serikali ya Jordan imetakiwa kutoshiriki mkutano wa Marekani wenye lengo la kuzindua hatua ya mwanzo ya utekelezaji wa 'Muamala wa Karne' unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao wa Juni nchini Bahrain.

  • Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    Iran: Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha Israel

    May 21, 2019 09:30

    Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel, Benjamin Netanyahu anataka kuigeuza Bahrain kuwa kisiwa cha utawala huo wa Kizayuni.

  • Wazayuni washiriki kinyemela mkutano wa biashara nchini Bahrain

    Wazayuni washiriki kinyemela mkutano wa biashara nchini Bahrain

    Apr 18, 2019 09:12

    Imebainika kuwa, ujumbe wa kibiashara na kisiasa wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeshiriki kwa siri kubwa Mkutano wa Kimataifa wa Kiuchumi wa Manama nchini Bahrain licha ya waandalizi wa mkutano huo kudai kuwa Wazayuni hao hawataushiriki kutokana na sababu za kiusalama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS